proxy voda freeeee

Prox is not adil if you want tobe connected.unless vpn name and apn or you should ask voda to actvat yo chip
 
Je hii ni lugha gani? Napenda sana kuelewa hii habari, ila kikwazo ni hii lugha ya maandishi uliotumia.
 
Prox sio hazisababishi wewe ukose huduma ya internet isipokuwa unatakiwa ujaze sehemu ya jina na kwa kuandika vodacom wap.alafu APN andika internet tu. Ukijaza mengine ilo litakuwa tatizo lingine kama lain yako haijawahi kufungua interneti wasiliana na vodacom
 
uwe unatumia kiswahili, kingereza chako kibovu sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom