wanasayansi wengi wanakubaliana time travel inawezekana , hasa travel into the future.iwaPo mtu akiondoka duniani akaacha watoto,na aka safiri kwenda kuishi Kwenye sayari nyingine yenye gravity kubwa zaidi ya dunia.akaishi huko kwa miaka kadhaa,basi huyo mtu atakaporudi duniani atakuta wanaoishi hapo ni vitukuu wa vitukuu wake.Mda yasemekana hupita kwa Kasi tofauti kutegemea Mahali ulipo ulimwenguni.Hii inatrend nw na wanasayansi wanasema hii inaprove ile kitu inaitwa time travelling kuwa inaexist,hapo ni mwaka 95 ktk pambano la Tyson,mwaka huo smartphone hiyo technology ilikuwa haijaingia (tukumbuke smartphone zilianza mwaka 2000),lakini huyo mtazamaji hapo ameonekana na kamera akichukua pambano kwa kutumia smartphone yake na kupiga picha,ukiangalia video utaona mwanga wa flash ya simu ikuchukua picha huku akichukua video pia.Wanasayansi wanasema huyo mtu alicome from future kuja kucheki pambano la Mike,swali je *_Time travelling exists_*. *JULINHO*Did a time-travelling boxing fan film a Mike Tyson bout on a SMARTPHONE five years before they were invented?
Hapana Ndugu.Hivi mtu aliyeishi miaka mia mbili iliyopita ungemwambie unaweza jifungia chumbani ukaongea na mtu Ulaya angekuamini?Si angekuona kichaa?Too much imagination.na watu kwa kuzua na kuamini uzushi hamjambo
Hapana mkuu kuna vitu vinaweza hata kuelezewa concept zake na mtu mwenye akili akaelewa.nikikutajia vitu ambavyo ninaviamini vinawezekana hata ww mwenyewe utanishangaa,stuff like teleportation etc.lakini time traveling is an imposibilty kwa sababu muda huwa haurudi nyuma,uta travel vipi kwenda kwa mfano to 1980 ilhali wakati 1980 ina take place hakukuwa na 2016?,time traveling is just a romance that sounds good in a movie lakini huwezi rudisha muda nyumaHapana Ndugu.Hivi mtu aliyeishi miaka mia mbili iliyopita ungemwambie unaweza jifungia chumbani ukaongea na mtu Ulaya angekuamini?Si angekuona kichaa?
Teh Teh Teh the camera might not be proof, but is that Justin Bieber just above the guy with a smartphone?