Mh jaji wewe ni kibaraka wa nani?na vp hili sembe lingekudondokea wewe ungekataa?Kauli ya Halima mdee kwenye kampeni za kugombea ubunge mwaka 2010 kuwa James Mbatia ni kibaraka wa ccm sasa imetimia. Pia waliompinga Kafulila sasa watakuwa waamefunguka macho na maono. Hii ni baada ya James Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu na JK.
Mh jaji wewe ni kibaraka wa nani?na vp hili sembe lingekudondokea wewe ungekataa?
Mh Manideta napenda kukujulisha kuwa mimi ni kibaraka wa Taifa langu la Tanzania. Haliwezi kwani itikadi zangu ni tofauti sana na za kwao.Mh jaji wewe ni kibaraka wa nani?na vp hili sembe lingekudondokea wewe ungekataa?
inanikumbusha situation moja ambapo wanandugu fulani walikuwa wakimpiga vita kaka yao aliyeonekana kuwa na busara nyingi ili wenyewe ndio warithi lakini pamoja na nguvu waliyokuwa nayo wakashindwa kutokana na ukweli wa mambo.Mungu hupenda kuwaumbua wote wanafiki...chadema ilikataa kuungana na vyama hivi watu wakaisema ooh chadema ni waroho wa madaraka...leo yako wapi
Kauli ya Halima mdee kwenye kampeni za kugombea ubunge mwaka 2010 kuwa James Mbatia ni kibaraka wa ccm sasa imetimia. Pia waliompinga Kafulila sasa watakuwa waamefunguka macho na maono. Hii ni baada ya James Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu na JK.
Hajampa Mbowe na pia hawezi kwani anachagua wanyonge. Kwanini uzungumzie mambo ambayo hayajatokea?Acheni majungu mlitaka amchague Anton Komu?ambaye ameshindwa ata kujieleza vizuri bungeni! Tuache fitina Mh Mbatia anao uwezo mkubwa na ataimudu vizuri nafasi hiyo , kwa fikra mbovu kama hizo inamaana Raisi akimpa uwaziri Mh Mbowe,je Mh Mbowe nae atakuwa kibaraka?tafadhari acheni wivu na majungu yasiyo na tija kwa taifa letu,Mungu ibariki Tanzania,Mungu wabariki wateuliwa wote wafanye kazi kwa uaminifu na uadilifu mkubwa kwa manufaa ya taifa letu!
Mungu hupenda kuwaumbua wote wanafiki...chadema ilikataa kuungana na vyama hivi watu wakaisema ooh chadema ni waroho wa madaraka...leo yako wapi