Diamomd uswahili ndio unamgharim. Akiachana na mambo ya kiswahili na mameneja wa uswahilini, bado hana mpinzani.Nyoka Mwenye Makengeza anajaribu kuifunika "seduce me" kwa views!
Kwahiyo wewe unataka Diamond aendeleze uswahili kwakuwa sisi ni waswahili?Biashara hiko zaidi ya wewe ujuavyo, Kawaida yetu kumchukia kila mwenye nacho, tunadai Diamond aache uswahili wakati na sisi waswahili wenyewe tunapigana vikumbo kwa waganga kila uchao.
Kulipia Tangazo jambo la kawaida sana jombaaa mpaka hao tunawaowakubali wanafanya hvyo ... Soko linabadilika kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyemaaa mkuuDiamond kazi anayo mwaka huu.
Mwaka huu ndio atajua watanzania ni watu wa namna gani. Pamoja na kwamba yeye pia katawaliwa na uswahili mwingi, kazi anayo.
Mshaurini aachane na mambo ya kiswahili, uswahili utamgharimu, kama anataka kuendelea kubakia kileleni, aachane na uswahili, ajionyeshe kua yeye ni international artist.
Mashindano ya kijinga jinga awaachie wajinga, aachane na mameneja waswahili swahili, mameneja wa kizaramo, maneno mengi.
Bado nina imani Diamond ni mwanamziki mkubwa, akiacha uswahili kama miaka 3 au 2 iliyopita, bado utawala wa muziki afrika mashariki na kati ni wake.