Leo nafungua thread ambayo kupitia hapa kila awezaye atatoa hoja ambayo ukiifanyia utafit ( to prove it... especially simple utafiti) utagundua kuna ukwel kuhusu hicho kitu!
Kwa kuanzia;
1. Prove it.
Wanawake wengi uendeshwa sana na hisia kuliko uhalisia mfano unaweza msikia mwanamke anasema napenda mwanaume hb, mwenye kifua kipana, mrefu kidogo, mstaarabu, mcha mungu, mkarimu pia mpole, bt ukakuta alie nae hana sifa hata moja kati ya hizo...... mkorofi, sio hb, mweusi, mfupi km andunje, sio mkarimu, hajui ht mlango wa kanisa n.k.
2. Prove it.
=====
3.Prove it.
Wanawake wengi upenda kutumia vitu vya gharama ambavyo hawavijui bei zake, magari, simu n.k ukimuulza dada simu yako nzuri umenunua bei gani jibu linaweza kukushngaza, sijui bei yake....hapo uwa siongezi swali.
4. Prove it.
Wanawake wengi uvaa nguo, ujipodoa na make up za nguvu na kuonekana tunavyowaona lengo uwa ni kuwavutia wanaume na kuwatishia wanawake wenzao ingawa ukiwauliza watakataaa.
5. Prove it.
Wanawake hawapendan wao kwa wao kuthibitsha hili fuatilia wanavyo hudumiana makazini au maofsini, mara nyingi wanataman kuhudumiwa na wanaume kuliko wanawake wenzao.
6. Prove it.
Men know whom they love.... ukwel ndo huo, kama hupendwi hata ulazimishe vip, kubembeleza plus ulie sana, hata km ni mrembo vip bado unaweza usioneshwe mahaba, ndo maana unaweza kuta man ana girls 50, bt kuna mmoja ana mpenda au hayupo kabisa.
7. Prove it.
Kimapenzi kusoma sana uongeza wigo wa kuchagua umpendaye kwa wanaume wakati kwa wanawake upunguza sana nafasi hiyo (nadra sana kwa mwanamke mwenye degree kuolewa na la saba au ambaye hajasoma either awe na influence ambyo mara nyingi uwa pesa) wakati mwanaume.... la saba twende, 4 sawa, mpk asiyejua shule ilpo twende..... ambapo ni kinyume kwa women.
8. Prove it.
Mtu ukiwa mdogo unataman kuambiwa we mkubwa ten ukiambiwa we mtoto unajiskia vbaya kinyume chake ukiwa mkubwa unataman kuambiwa we mdogo, ndo maana wengi upunguza mpk umri ili mradi aonekane mdogo kumbe mkubwa, fuatlia wachezaji, wafanyakazi wengi sio umri wao halisi.
9. Prove it.
Vyuoni tunadanganyana mno, kila kitu kinakuwa tofauti na uhalisia, kila mtu anawaza atakavyoish kifalme mtaani jambo ambalo ni kinyume chake, utasikia nikimaliza chuo mshahra wa milioni moja sichukui lakin ufka muda utamani ulipwe hata laki usogeze siku.
10. Prove it.
Unaweza ongeza hapo mambo yalivyo mitaan na kwenye jamii zetu.