Kwa kuwa ni sherehe za mapinduzi ya Zanzibar ambayo yalitokea kabla ya Muungano na kwa kuwa mkuu wa serikali hiyo ya mapinduzi ni rais wa Zanzibar, mwenye madaraka zaidi katika hilo ni rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na si rais wa Muungano; - Ni mawazo yangu tu!