Protesters block roads at Namanga over repatriation

Dhuks

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
1,629
697
1532649.jpg

Protesters on Monday blocked the Kenya-Tanzania border road at Namanga and paralysed transport between the two countries.

The Kenyan protesters were demonstrating against President John Maghufuli’s alleged repatriation of their counterparts living in Tanzania. They stormed all the business premises owned by Tanzanians, rounded them up and frog-marched them across the border.

In the process, many Tanzanian businesspeople lost their stock and cash, while barmaids were roughed up and their mobile phones taken away.

Kajiado county commissioner Harsama Kello, who two weeks ago said the situation was under control, said police were headed to the border to manage the protests

Several Kenyans, including those who were born in Tanzania before Independence, have been forced to leave the country if they cannot prove their identity.

Two weeks ago, the Star reported that Tanzanian authorities are targeting Kenyans living in their country without valid documents.

Several people, who were born by their Kenyan parents while living in Tanzania in the early 1960s and who have no link with their parents’ country of origin, have been forced to leave since they can’t prove their Tanzanian nationality.

One of them, Samuel Ngeselai, was forced to flee from Longido district in Tanzania and moved to Kenya, leaving his children and wife of 30 years across the border. Ngeselai is now stateless. He says his grandfather, a Mau Mau activist who escaped to Tanzania in the early 1950s, died in that country.

His mother is bedridden and still living in Tanzania. Kello said the protests started on the border after Tanzanian authorities arrested three Kenyans last Friday and arraigned them in court for being in the country without valid documents.
source
 
It is better for those who are not Tanzanians must go back to their home countries, unless they have valid doc.
There should be no excuse to them. But storming buses and cars owned by Tanzanians was unfair and best measures for those acted must to taken!!!
 
Siungi mkono tabia za hao Wakenya, walichokifanya cha kuwafurusha wanabiashara wa kutokea Tanzania kwa mtindo huo haikua sawa. Ni muhimu sana mamlaka husika hususan hayo maeneo ya mipakani wabuni mikakati ya kuzuia matukio kama hayo.
Lakini pia taarifa hizi hapa kama kweli, zinaonyesha kuwa operesheni zenu za kuwafukuza wageni huwa mnazifanya kwa mihemko bila kuzingatia ubinadamu. Sasa mtu ameishi Tanzania tangu hata kabla hamjapata uhuru, leo unamfurusha na kumtupa nje bila huruma wala kuzingatia mikakati yoyote, inaonyesha huwa mumejawa na chuki tu.

Nilisoma sehemu mlimfurusha jamaa aliyekua ameoa Mtanzania, ambapo ni sawa kumfurusha kama hakua na vyeti maalum lakini cha kushangaza ni kwamba mkewe ambaye alibaki na duka lao, mlimkataza asiendelee na hiyo biashara hapo maana ina Ukenya ndani yake.
Sasa mke ni Mtanzania, mali amebaki nayo ndani ya Tanzania yao, mnamkataza asiendelee na biashara. Chuki za hivyo zinaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii maana Kenya na Tanzania tumeingiana sana kijamii, ndio nchi mbili zenye mpaka mrefu, zinatumia Kiswahili, tunahusiana kibiashara na kwa mambo mengine mengi, makabila yetu ya hapo mpakani yapo pande zote mbili.

Leo hii kuna watoto wengi wa kutokea Tanzania huvuka mpaka na kusomea Kenya, kuna Watanzania maelfu wapo Kenya wanapiga mishe zao na kujikimu kimaisha. Uhamiaji wakikupa takwimu za idadi ya Watanzania wanaovuka mpaka wakiingia Kenya kila siku, utashangaa. Na pia Wakenya wanaovuka wakiingia Tanzania ni wengi.

Hivyo kabla ya kukurupuka na maamuzi ya kuvuruga kila kitu, ni bora kuzingatia mambo mengi na kufanya mambo kwa minajili ya ubinadamu.

Na pia nawaasa Wakenya wenzangu wanaokwenda Tanzania, ni bora kuheshimu sheria zao kwenye nchi yao. Nunua vibali kihalali na kwa mamlaka husika halafu nenda fanya yako na kurudi, hizi aibu za kukimbizana na askari wa uhamiaji hazifai. Kama lazima uwekeze, inabidi kuishi kwao kama Wahindi wafanyavyo, unakua makini na tayari ipo siku utafurushwa, nilishangaa Mkenya mmoja anaishi na watoto wake Tanzania. Yakitokea ya kutokea utapata aibu sana kwa kuona wanao na familia mnafurushwa kama mbwa.

Piga mishe zako ukiwaza kwenu, waache watoto wabaki Kenya uwe unarudi tu kuwacheki lakini sio kubebana nao wote na kuishi nao kwenye nchi ambayo huna uhakika kesho wataamka vipi au wana kipi kipya. Halafu hakikisha vibali vyako vyote ni halali na upo navyo tayari muda wowote, nenda ubalozi wa Kenya pia usajiriwe ili ikitokea unyanyasaji wa aina yoyote unawapa taarifa ubalozi, husadia sana.

Na vijana wale mnawafuata kuwaoa wake wa Kitanzania, hakikisha mnajadili kwa kina jinsi ya kuishi, uhakikishe watoto wenu muda mwingi wanaishi Kenya na wanajijua kuwa Wakenya maana ukiwaacha wajione kwamba wao ni Watanzania siku zote halafu yaje yakutokea ndio utakoma kwa aibu.
 
Nawashangaa sana Watanzania wenzangu tunawaogopa Wakenya na kuwaona ni adui wa maendeleo na kuwaacha Wahindi na Makaburu ambao kwanza wao wako mote advanced na hatuwezi shindana nao na hakuna siku tutaweza shindana na Makaburu kwenye biashara.
Wakenya hatutofautiani sana na sio threat hata kidogo, Wazungu wanakuja wanakama Aridhi ya kutosha lakini tuko kimya,sasa akipewa mkenya utasikia watu hata wakiandamana.

Waafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.

Sijawahi sikia Wamerakani wakiwafukuza Wakanada au Wajerumani wakiwavurumisha Wafaransa.

Sasa njoo Africa. Haya ndo yale yale yanafanyika South
 
hajakatazwa mkenya kuongea Tanzania ila kufanya kazi ama Biashara bila vibali huu ni Ukoseshaji wa mapato kwa Taifa. Waache wa endelee kujishaua na Magu hawamjui wanafikiria maandamano yatamsimamisha?
 
Ila inafaa ujue kuna Watz Kenya, Kama yeye ataendelea hivyo nasi huku tufanye hivyo, hizi nchi mbili watu wake watakuaje??
 
Msimamo wa serikali ya Magufuli unaujua kasema hata Watanzania wanaokaa illegal nchi za watu wafukuzwe! Sasa mnapoandamana ni umburura wakati yeye anataka ku-raise revenues aendeshe serikali yake. Lipa kodi kwa kulipia kibali cha kuishi uone kama utasumbuliwa! Hayo mengineyo ni siasa za Upumbavu Tanzania ni ardhi ya Watanzania uwe umezaliwa 1950 ama kabla as long as unamiliki uraia wa nchi nyingine wewe si Mtanzania kisheria maana hatuna duo nationality mlipue transformer mvunje matanki jamaa atajenga upande wa pili. Hamumjui...
 
Siungi mkono tabia za hao Wakenya, walichokifanya cha kuwafurusha wanabiashara wa kutokea Tanzania kwa mtindo huo haikua sawa. Ni muhimu sana mamlaka husika hususan hayo maeneo ya mipakani wabuni mikakati ya kuzuia matukio kama hayo.
Lakini pia taarifa hizi hapa kama kweli, zinaonyesha kuwa operesheni zenu za kuwafukuza wageni huwa mnazifanya kwa mihemko bila kuzingatia ubinadamu. Sasa mtu ameishi Tanzania tangu hata kabla hamjapata uhuru, leo unamfurusha na kumtupa nje bila huruma wala kuzingatia mikakati yoyote, inaonyesha huwa mumejawa na chuki tu.

Nilisoma sehemu mlimfurusha jamaa aliyekua ameoa Mtanzania, ambapo ni sawa kumfurusha kama hakua na vyeti maalum lakini cha kushangaza ni kwamba mkewe ambaye alibaki na duka lao, mlimkataza asiendelee na hiyo biashara hapo maana ina Ukenya ndani yake.
Sasa mke ni Mtanzania, mali amebaki nayo ndani ya Tanzania yao, mnamkataza asiendelee na biashara. Chuki za hivyo zinaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii maana Kenya na Tanzania tumeingiana sana kijamii, ndio nchi mbili zenye mpaka mrefu, zinatumia Kiswahili, tunahusiana kibiashara na kwa mambo mengine mengi, makabila yetu ya hapo mpakani yapo pande zote mbili.

Leo hii kuna watoto wengi wa kutokea Tanzania huvuka mpaka na kusomea Kenya, kuna Watanzania maelfu wapo Kenya wanapiga mishe zao na kujikimu kimaisha. Uhamiaji wakikupa takwimu za idadi ya Watanzania wanaovuka mpaka wakiingia Kenya kila siku, utashangaa. Na pia Wakenya wanaovuka wakiingia Tanzania ni wengi.

Hivyo kabla ya kukurupuka na maamuzi ya kuvuruga kila kitu, ni bora kuzingatia mambo mengi na kufanya mambo kwa minajili ya ubinadamu.

Na pia nawaasa Wakenya wenzangu wanaokwenda Tanzania, ni bora kuheshimu sheria zao kwenye nchi yao. Nunua vibali kihalali na kwa mamlaka husika halafu nenda fanya yako na kurudi, hizi aibu za kukimbizana na askari wa uhamiaji hazifai. Kama lazima uwekeze, inabidi kuishi kwao kama Wahindi wafanyavyo, unakua makini na tayari ipo siku utafurushwa, nilishangaa Mkenya mmoja anaishi na watoto wake Tanzania. Yakitokea ya kutokea utapata aibu sana kwa kuona wanao na familia mnafurushwa kama mbwa.

Piga mishe zako ukiwaza kwenu, waache watoto wabaki Kenya uwe unarudi tu kuwacheki lakini sio kubebana nao wote na kuishi nao kwenye nchi ambayo huna uhakika kesho wataamka vipi au wana kipi kipya. Halafu hakikisha vibali vyako vyote ni halali na upo navyo tayari muda wowote, nenda ubalozi wa Kenya pia usajiriwe ili ikitokea unyanyasaji wa aina yoyote unawapa taarifa ubalozi, husadia sana.

Na vijana wale mnawafuata kuwaoa wake wa Kitanzania, hakikisha mnajadili kwa kina jinsi ya kuishi, uhakikishe watoto wenu muda mwingi wanaishi Kenya na wanajijua kuwa Wakenya maana ukiwaacha wajione kwamba wao ni Watanzania siku zote halafu yaje yakutokea ndio utakoma kwa aibu.
Tanzania haina duo nationality kama alizaliwa 1950 na hajajiandikisha kama Mtanzania anapaswa kutoka alizaliwa lakini si Raia na isitoshe atakuwa na ID ya Kenya. Nyie watu ni washenzy mnachofanya Loliondo mmepata dawa yenu Magu atawafurumusha wote maana hata Wamasai wa Tanzania na Kenya ni tofauti na wanajulikana.
Hata kama ulizaliwa Tanzania, kuna u taratibuuu wa kuwa Mtanzania zaidi ya bogus journalism
 
Siungi mkono tabia za hao Wakenya, walichokifanya cha kuwafurusha wanabiashara wa kutokea Tanzania kwa mtindo huo haikua sawa. Ni muhimu sana mamlaka husika hususan hayo maeneo ya mipakani wabuni mikakati ya kuzuia matukio kama hayo.
Lakini pia taarifa hizi hapa kama kweli, zinaonyesha kuwa operesheni zenu za kuwafukuza wageni huwa mnazifanya kwa mihemko bila kuzingatia ubinadamu. Sasa mtu ameishi Tanzania tangu hata kabla hamjapata uhuru, leo unamfurusha na kumtupa nje bila huruma wala kuzingatia mikakati yoyote, inaonyesha huwa mumejawa na chuki tu.

Nilisoma sehemu mlimfurusha jamaa aliyekua ameoa Mtanzania, ambapo ni sawa kumfurusha kama hakua na vyeti maalum lakini cha kushangaza ni kwamba mkewe ambaye alibaki na duka lao, mlimkataza asiendelee na hiyo biashara hapo maana ina Ukenya ndani yake.
Sasa mke ni Mtanzania, mali amebaki nayo ndani ya Tanzania yao, mnamkataza asiendelee na biashara. Chuki za hivyo zinaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii maana Kenya na Tanzania tumeingiana sana kijamii, ndio nchi mbili zenye mpaka mrefu, zinatumia Kiswahili, tunahusiana kibiashara na kwa mambo mengine mengi, makabila yetu ya hapo mpakani yapo pande zote mbili.

Leo hii kuna watoto wengi wa kutokea Tanzania huvuka mpaka na kusomea Kenya, kuna Watanzania maelfu wapo Kenya wanapiga mishe zao na kujikimu kimaisha. Uhamiaji wakikupa takwimu za idadi ya Watanzania wanaovuka mpaka wakiingia Kenya kila siku, utashangaa. Na pia Wakenya wanaovuka wakiingia Tanzania ni wengi.

Hivyo kabla ya kukurupuka na maamuzi ya kuvuruga kila kitu, ni bora kuzingatia mambo mengi na kufanya mambo kwa minajili ya ubinadamu.

Na pia nawaasa Wakenya wenzangu wanaokwenda Tanzania, ni bora kuheshimu sheria zao kwenye nchi yao. Nunua vibali kihalali na kwa mamlaka husika halafu nenda fanya yako na kurudi, hizi aibu za kukimbizana na askari wa uhamiaji hazifai. Kama lazima uwekeze, inabidi kuishi kwao kama Wahindi wafanyavyo, unakua makini na tayari ipo siku utafurushwa, nilishangaa Mkenya mmoja anaishi na watoto wake Tanzania. Yakitokea ya kutokea utapata aibu sana kwa kuona wanao na familia mnafurushwa kama mbwa.

Piga mishe zako ukiwaza kwenu, waache watoto wabaki Kenya uwe unarudi tu kuwacheki lakini sio kubebana nao wote na kuishi nao kwenye nchi ambayo huna uhakika kesho wataamka vipi au wana kipi kipya. Halafu hakikisha vibali vyako vyote ni halali na upo navyo tayari muda wowote, nenda ubalozi wa Kenya pia usajiriwe ili ikitokea unyanyasaji wa aina yoyote unawapa taarifa ubalozi, husadia sana.

Na vijana wale mnawafuata kuwaoa wake wa Kitanzania, hakikisha mnajadili kwa kina jinsi ya kuishi, uhakikishe watoto wenu muda mwingi wanaishi Kenya na wanajijua kuwa Wakenya maana ukiwaacha wajione kwamba wao ni Watanzania siku zote halafu yaje yakutokea ndio utakoma kwa aibu.
Ulianza vyema ukamaliza vibaya, kwani watoto ni wa baba tu? Sheria zinasemaje kuhusu uraia wa mtoto aliyezaliwa na wazazi wa mataifa tofauti?
Kuna tatizo hapa, tena ni kubwa kuliko tunavyolichukulia. Namkubali Nyerere kwa maono yake ya mbali sana. Tupo pabaya na huu ndo mwanzo tu, tuna taifa na utaifa ktk Kenya na Tanzania. Maslahi ya kila taifa lazima yaje yatunyooshe.

Tuna suluhisho moja tu tena halina hata uthabiti, kila mtu na azitii sheria za hapo alipo, hakuna jinsi. Ila na sheria pia nazo utungwa na watu kwa maslahi yao. Shirikisho la 60s ndo lilikuwa mwarobaini tu. Poleni wahanga.
 
Nawashangaa sana Watanzania wenzangu tunawaogopa Wakenya na kuwaona ni adui wa maendeleo na kuwaacha Wahindi na Makaburu ambao kwanza wao wako mote advanced na hatuwezi shindana nao na hakuna siku tutaweza shindana na Makaburu kwenye biashara.
Wakenya hatutofautiani sana na sio threat hata kidogo, Wazungu wanakuja wanakama Aridhi ya kutosha lakini tuko kimya,sasa akipewa mkenya utasikia watu hata wakiandamana.

Waafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.

Sijawahi sikia Wamerakani wakiwafukuza Wakanada au Wajerumani wakiwavurumisha Wafaransa.

Sasa njoo Africa. Haya ndo yale yale yanafanyika South
Utaifa ndugu, utaifa ukijengeka nao ni sumu kokote pale. Ndo maana hayati alisema, ni sawa na kula nyama ya mtu tu. Hakuna taifa popote hata hayo uliyoyataja yaliyosalama. Marekani si ndo wajengao ukuta au? Ujerumani si ndo ilowachinja wayahudi au?

Makosa ya kijinga yalishafanywa na waasisi wa mataifa ya kikoloni ya kiafrika, hapakuwa na nchi iitwayo Kenya wala Tanzania na hayapo hata leo, ndo kwanza yanajengewa misingi yake.

Hii ni kanuni, msipoungana mtatengana, na mkishatengana mtabaguana. Wenye hekima walishayaona hayo kitambo. Hata hao wahindi ni muda tu, hata South, wageni wakishatimuliwa pia nao watarudi walikokuweko.
 
Ila inafaa ujue kuna Watz Kenya, Kama yeye ataendelea hivyo nasi huku tufanye hivyo, hizi nchi mbili watu wake watakuaje??
Kenyata ndo apasaye kulijibu hilo swali, hakuona mbele sana. Uroho na utaifa fake ulimsumbua. Tz na Ke ni taifa moja ktk kila nyanja, ilipaswa kuwa hivyo. Tanga na Mombasa ni ndugu zaidi hata kuzidi Tanga na Morogoro.

Sijui kama tutaweza kurudi nyuma na kuanza upya, mi nadhani Afrika ni Tanzania pekee iliyosalia na udugu wa kiafrika, mengine yote utaifa kwanza. Leo na Tanzania inahubiri utaifa kwanza uafrika baadae, ni shida.
 
Ulianza vyema ukamaliza vibaya, kwani watoto ni wa baba tu? Sheria zinasemaje kuhusu uraia wa mtoto aliyezaliwa na wazazi wa mataifa tofauti?
Kuna tatizo hapa, tena ni kubwa kuliko tunavyolichukulia. Namkubali Nyerere kwa maono yake ya mbali sana. Tupo pabaya na huu ndo mwanzo tu, tuna taifa na utaifa ktk Kenya na Tanzania. Maslahi ya kila taifa lazima yaje yatunyooshe.

Tuna suluhisho moja tu tena halina hata uthabiti, kila mtu na azitii sheria za hapo alipo, hakuna jinsi. Ila na sheria pia nazo utungwa na watu kwa maslahi yao. Shirikisho la 60s ndo lilikuwa mwarobaini tu. Poleni wahanga.

Kwamba nilianza vizuri na kumaliza vibaya, hayo ni maoni yako, mimi ninaandika kilicho moyoni mwangu bila nia ya kumfurahisha au kumkweza yeyote. Lazima mjifunze kuvumilia kauli za wenzenu hata kama zinakinzana na unacho amini, na ndio maana leo hii huko kwenu mnafukuza waziri kwa bastola na kukamata wasanii kama akina Nay maana hamtaki kuvumilia kuskliza kauli pinzani na imani zenu.

Kwa nchi iliyo na chembechembe za chuki dhidi ya wageni, lazima uhakikishe unawalinda watoto wako hata kama wana uraia. Wayahudi walikua na uraia wa Ujerumani wakati Hitler ana wasaka, Wahindi walikua na uraia wa Uganda wakati Amin anawafanyia unyama, mifano ipo mingi tu. Hivyo ukibarikiwa kupata mtoto baada ya ndoa na mwanamke kwenye nchi ya kihivyo, hakikisha mwanao umemrejesha kwenu, tena akiwa bado mdogo, malezi, dini, itikadi, elimu na kila kitu zifanyie kwenu na atakushukuru sana katika ukubwa wake wakati vurugu za ubaguzi zinaanza.

Leo hii kulingana na hizi taarifa hapa, mtu alizaliwa Tanzania hata kabla nchi haijapata uhuru, mnamfurusha kwamba aende kwao ghafla, tena kwa kushtukiza, jameni kwao wapi. Haya ndio yanatokea kule Afrika Kusini, japo kule yanafanywa na raia wenye chuki na sio serikali.

Sijui kama ipo siku mtakuja elewa kwamba Kenya ndio ndugu zenu wa karibu, kama nilivyosema awali, tuna mpaka mrefu baina yetu, tunaongea lugha moja, tuna makabila ambayo yana ndugu pande zote mbili. Wazungu wakati wanagawana Afrika kama shamba la bibi, walikuja wakachora mpaka baina ya Wajaluo, Wakuria, Wadigo, Wamaasai n.k. na kuwaambia wa huku waitwe Wakenya na wa kule waitwe Watanzania, unakuta mtu ana mjomba upande wa pili na shangazi upande wa huku.

Mimi hapa Mkikuyu, najaribu kuwaza jinsi ningekua namwona Mkikuyu wa Tanzania upande wa pili kisa mzungu kachora mpaka baina yetu. Anyway tuliyakuta, na itabidi tuishi yalivyo kimya bila sauti au nia ya kuyabadilisha. Lakini naomba sana Kenya isije kujitoa ufahamu na kuwafurusha ndugu zetu Watanzania waliojaa huku kwa maelfu, itaniuma balaa japo sitakua na uwezo wala cha kufanya kuzuia.
 
undugu uanze kwenu matatizo yenu ya historical land injustices msituletee sisi. Ungekuwa wa maana kama ungewahimiza waandamanaji wavamie Mashamba ya Kenyatta badala ya kung'ang'ania waishi isivyo halali kisa walizaliwa Tanzania huku wakiwa na ID za Kenya. Huu unafiki wa Nyang'au ndo unafanya niwadharau. BTW kuelekea uchaguzi, Magufuli ahakikishe anawatimua wote ili mkumbuke ardhi ya Narok county imetwaliwa na wanasiasa Uhuru akiwemo kama kiongozi. Wapuuzi sana nyie
 
Siungi mkono tabia za hao Wakenya, walichokifanya cha kuwafurusha wanabiashara wa kutokea Tanzania kwa mtindo huo haikua sawa. Ni muhimu sana mamlaka husika hususan hayo maeneo ya mipakani wabuni mikakati ya kuzuia matukio kama hayo.
Lakini pia taarifa hizi hapa kama kweli, zinaonyesha kuwa operesheni zenu za kuwafukuza wageni huwa mnazifanya kwa mihemko bila kuzingatia ubinadamu. Sasa mtu ameishi Tanzania tangu hata kabla hamjapata uhuru, leo unamfurusha na kumtupa nje bila huruma wala kuzingatia mikakati yoyote, inaonyesha huwa mumejawa na chuki tu.

Nilisoma sehemu mlimfurusha jamaa aliyekua ameoa Mtanzania, ambapo ni sawa kumfurusha kama hakua na vyeti maalum lakini cha kushangaza ni kwamba mkewe ambaye alibaki na duka lao, mlimkataza asiendelee na hiyo biashara hapo maana ina Ukenya ndani yake.
Sasa mke ni Mtanzania, mali amebaki nayo ndani ya Tanzania yao, mnamkataza asiendelee na biashara. Chuki za hivyo zinaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii maana Kenya na Tanzania tumeingiana sana kijamii, ndio nchi mbili zenye mpaka mrefu, zinatumia Kiswahili, tunahusiana kibiashara na kwa mambo mengine mengi, makabila yetu ya hapo mpakani yapo pande zote mbili.

Leo hii kuna watoto wengi wa kutokea Tanzania huvuka mpaka na kusomea Kenya, kuna Watanzania maelfu wapo Kenya wanapiga mishe zao na kujikimu kimaisha. Uhamiaji wakikupa takwimu za idadi ya Watanzania wanaovuka mpaka wakiingia Kenya kila siku, utashangaa. Na pia Wakenya wanaovuka wakiingia Tanzania ni wengi.

Hivyo kabla ya kukurupuka na maamuzi ya kuvuruga kila kitu, ni bora kuzingatia mambo mengi na kufanya mambo kwa minajili ya ubinadamu.

Na pia nawaasa Wakenya wenzangu wanaokwenda Tanzania, ni bora kuheshimu sheria zao kwenye nchi yao. Nunua vibali kihalali na kwa mamlaka husika halafu nenda fanya yako na kurudi, hizi aibu za kukimbizana na askari wa uhamiaji hazifai. Kama lazima uwekeze, inabidi kuishi kwao kama Wahindi wafanyavyo, unakua makini na tayari ipo siku utafurushwa, nilishangaa Mkenya mmoja anaishi na watoto wake Tanzania. Yakitokea ya kutokea utapata aibu sana kwa kuona wanao na familia mnafurushwa kama mbwa.

Piga mishe zako ukiwaza kwenu, waache watoto wabaki Kenya uwe unarudi tu kuwacheki lakini sio kubebana nao wote na kuishi nao kwenye nchi ambayo huna uhakika kesho wataamka vipi au wana kipi kipya. Halafu hakikisha vibali vyako vyote ni halali na upo navyo tayari muda wowote, nenda ubalozi wa Kenya pia usajiriwe ili ikitokea unyanyasaji wa aina yoyote unawapa taarifa ubalozi, husadia sana.

Na vijana wale mnawafuata kuwaoa wake wa Kitanzania, hakikisha mnajadili kwa kina jinsi ya kuishi, uhakikishe watoto wenu muda mwingi wanaishi Kenya na wanajijua kuwa Wakenya maana ukiwaacha wajione kwamba wao ni Watanzania siku zote halafu yaje yakutokea ndio utakoma kwa aibu.
Siungi mkono tabia za hao Wakenya, walichokifanya cha kuwafurusha wanabiashara wa kutokea Tanzania kwa mtindo huo haikua sawa. Ni muhimu sana mamlaka husika hususan hayo maeneo ya mipakani wabuni mikakati ya kuzuia matukio kama hayo.
Lakini pia taarifa hizi hapa kama kweli, zinaonyesha kuwa operesheni zenu za kuwafukuza wageni huwa mnazifanya kwa mihemko bila kuzingatia ubinadamu. Sasa mtu ameishi Tanzania tangu hata kabla hamjapata uhuru, leo unamfurusha na kumtupa nje bila huruma wala kuzingatia mikakati yoyote, inaonyesha huwa mumejawa na chuki tu.

Nilisoma sehemu mlimfurusha jamaa aliyekua ameoa Mtanzania, ambapo ni sawa kumfurusha kama hakua na vyeti maalum lakini cha kushangaza ni kwamba mkewe ambaye alibaki na duka lao, mlimkataza asiendelee na hiyo biashara hapo maana ina Ukenya ndani yake.
Sasa mke ni Mtanzania, mali amebaki nayo ndani ya Tanzania yao, mnamkataza asiendelee na biashara. Chuki za hivyo zinaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii maana Kenya na Tanzania tumeingiana sana kijamii, ndio nchi mbili zenye mpaka mrefu, zinatumia Kiswahili, tunahusiana kibiashara na kwa mambo mengine mengi, makabila yetu ya hapo mpakani yapo pande zote mbili.

Leo hii kuna watoto wengi wa kutokea Tanzania huvuka mpaka na kusomea Kenya, kuna Watanzania maelfu wapo Kenya wanapiga mishe zao na kujikimu kimaisha. Uhamiaji wakikupa takwimu za idadi ya Watanzania wanaovuka mpaka wakiingia Kenya kila siku, utashangaa. Na pia Wakenya wanaovuka wakiingia Tanzania ni wengi.

Hivyo kabla ya kukurupuka na maamuzi ya kuvuruga kila kitu, ni bora kuzingatia mambo mengi na kufanya mambo kwa minajili ya ubinadamu.

Na pia nawaasa Wakenya wenzangu wanaokwenda Tanzania, ni bora kuheshimu sheria zao kwenye nchi yao. Nunua vibali kihalali na kwa mamlaka husika halafu nenda fanya yako na kurudi, hizi aibu za kukimbizana na askari wa uhamiaji hazifai. Kama lazima uwekeze, inabidi kuishi kwao kama Wahindi wafanyavyo, unakua makini na tayari ipo siku utafurushwa, nilishangaa Mkenya mmoja anaishi na watoto wake Tanzania. Yakitokea ya kutokea utapata aibu sana kwa kuona wanao na familia mnafurushwa kama mbwa.

Piga mishe zako ukiwaza kwenu, waache watoto wabaki Kenya uwe unarudi tu kuwacheki lakini sio kubebana nao wote na kuishi nao kwenye nchi ambayo huna uhakika kesho wataamka vipi au wana kipi kipya. Halafu hakikisha vibali vyako vyote ni halali na upo navyo tayari muda wowote, nenda ubalozi wa Kenya pia usajiriwe ili ikitokea unyanyasaji wa aina yoyote unawapa taarifa ubalozi, husadia sana.

Na vijana wale mnawafuata kuwaoa wake wa Kitanzania, hakikisha mnajadili kwa kina jinsi ya kuishi, uhakikishe watoto wenu muda mwingi wanaishi Kenya na wanajijua kuwa Wakenya maana ukiwaacha wajione kwamba wao ni Watanzania siku zote halafu yaje yakutokea ndio utakoma kwa aibu.
Siungi mkono tabia za hao Wakenya, walichokifanya cha kuwafurusha wanabiashara wa kutokea Tanzania kwa mtindo huo haikua sawa. Ni muhimu sana mamlaka husika hususan hayo maeneo ya mipakani wabuni mikakati ya kuzuia matukio kama hayo.
Lakini pia taarifa hizi hapa kama kweli, zinaonyesha kuwa operesheni zenu za kuwafukuza wageni huwa mnazifanya kwa mihemko bila kuzingatia ubinadamu. Sasa mtu ameishi Tanzania tangu hata kabla hamjapata uhuru, leo unamfurusha na kumtupa nje bila huruma wala kuzingatia mikakati yoyote, inaonyesha huwa mumejawa na chuki tu.

Nilisoma sehemu mlimfurusha jamaa aliyekua ameoa Mtanzania, ambapo ni sawa kumfurusha kama hakua na vyeti maalum lakini cha kushangaza ni kwamba mkewe ambaye alibaki na duka lao, mlimkataza asiendelee na hiyo biashara hapo maana ina Ukenya ndani yake.
Sasa mke ni Mtanzania, mali amebaki nayo ndani ya Tanzania yao, mnamkataza asiendelee na biashara. Chuki za hivyo zinaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii maana Kenya na Tanzania tumeingiana sana kijamii, ndio nchi mbili zenye mpaka mrefu, zinatumia Kiswahili, tunahusiana kibiashara na kwa mambo mengine mengi, makabila yetu ya hapo mpakani yapo pande zote mbili.

Leo hii kuna watoto wengi wa kutokea Tanzania huvuka mpaka na kusomea Kenya, kuna Watanzania maelfu wapo Kenya wanapiga mishe zao na kujikimu kimaisha. Uhamiaji wakikupa takwimu za idadi ya Watanzania wanaovuka mpaka wakiingia Kenya kila siku, utashangaa. Na pia Wakenya wanaovuka wakiingia Tanzania ni wengi.

Hivyo kabla ya kukurupuka na maamuzi ya kuvuruga kila kitu, ni bora kuzingatia mambo mengi na kufanya mambo kwa minajili ya ubinadamu.

Na pia nawaasa Wakenya wenzangu wanaokwenda Tanzania, ni bora kuheshimu sheria zao kwenye nchi yao. Nunua vibali kihalali na kwa mamlaka husika halafu nenda fanya yako na kurudi, hizi aibu za kukimbizana na askari wa uhamiaji hazifai. Kama lazima uwekeze, inabidi kuishi kwao kama Wahindi wafanyavyo, unakua makini na tayari ipo siku utafurushwa, nilishangaa Mkenya mmoja anaishi na watoto wake Tanzania. Yakitokea ya kutokea utapata aibu sana kwa kuona wanao na familia mnafurushwa kama mbwa.

Piga mishe zako ukiwaza kwenu, waache watoto wabaki Kenya uwe unarudi tu kuwacheki lakini sio kubebana nao wote na kuishi nao kwenye nchi ambayo huna uhakika kesho wataamka vipi au wana kipi kipya. Halafu hakikisha vibali vyako vyote ni halali na upo navyo tayari muda wowote, nenda ubalozi wa Kenya pia usajiriwe ili ikitokea unyanyasaji wa aina yoyote unawapa taarifa ubalozi, husadia sana.

Na vijana wale mnawafuata kuwaoa wake wa Kitanzania, hakikisha mnajadili kwa kina jinsi ya kuishi, uhakikishe watoto wenu muda mwingi wanaishi Kenya na wanajijua kuwa Wakenya maana ukiwaacha wajione kwamba wao ni Watanzania siku zote halafu yaje yakutokea ndio utakoma kwa aibu.

wewe pia unapenda kujipendekeza kwa watanzania sana ,sasa huungi mkono kitendo cha wakenya sasa watanzania walifanya vizuri tushangilie? ama hakuna watanzania hapa Kenya bila sitakabadi? washawahi fukuzwa?
hakuna mkenya ako interested na kuoa mtanzania labda wewe!! an enemy to any Kenyan is my enemy na hatutabembelezana na hawa takataka ,mavi ya kuku shenzi sana
 
Back
Top Bottom