habari zenu wadau. ninahitaji msaada wa software nitakayoweza kuzuia CD/DVD from copying. nahitaji nikiBurn CD/DVD iwe kama zile za bongo movie inaonekana kama ni 300GB , na haifai kukopy kwa Nero au Ashampoo au NTI. Tafadhali mwenye kujua anifahamishe
As far as i know, that's impossible. Ukisharuhusu CD itoke mikononi mwako data hizo lazima zitawezekana kua copied! Hollywood wameshajaribu kuzui hiki kitu na wameshindwa (na mind you Waliwekeza hela ndefu kwene CD protection, ila imeshindikana)! Your best bet ni labda kuweka vi2 vyako kwene archive na kuvifunga na password ili mtu asiye na password asiweze kuviona!! Or unaweza tumia Encryption softwares kama Truecrypt ambayo itaweka data zako in encrypted format. Ili kuzi access mpaka mtu azi-mount kwanza! overall huwezi kuzui mtu akaview content za CD na asizicopy
Hakuna kinachoshindikana when comes to.piracy. cd za bongo movie zinakopika sana tu. Hata za kizungu ambazo wanaziprotect lakini zinakopika..
Ni wachache wanaojuwa hivyo, kwa mtz wa kawaida hivyo tayari umeshamzuia!
.
ukiona m2 anauwezo wa ku copy cd hata kama co protected basi huyo sio M TZ wakawaida
.
Software za kuzuia kucopy CD/DVD za movie zipo(Mimi ninayo moja) japokuwa hazizuii kwa 100% mtu kucopy esp. kama ni advanced users. Ila kwa watumiaji wa kawaida, hiyo inaweka ugumu kidogo hivyo kuwafanya wapotezee plan yao ya kucopy.
So, bora kutumia software ya kuzuia CD/DVD copying ili kupunguza idadi ya watu wanaokopy kuliko kuacha mtu yeyote akopy.Binafsi natumia DVDFab kukopy protected CD/DVD.....:msela::msela::msela:
Naomba jina la hiyo software ya kuzuia kukopy