prosperity

pesa htumika kama kipimo cha success na unapata marafiki wanaku-admire (real) na wale wanaotaka freebies (wanafiki). more successful ppl get more attention/friends and its a natural process. kuhusu wazazi kubagua watoto iko financial dependency zaidi; its better kuwa karibu na tajiri coz anaweza kukusaidia uzeeni. pia watu wengi successful hawapendi kukosoloewa na hutumia $$ as a way to get what they want hasa kwenye masuala ya ukoo soo utakuta mzazni hana jinsi
 
Last edited by a moderator:
Pesa inakufanya uwe mfano katika jamii hata kama unaongea pumba fulia uone hata watoto watakutenga
 
Last edited by a moderator:
so what do you conclude??

Ni hivi dada yangu, wahenga huwa wanasema "akufaaye kwa dhiki, huyo ndio rafiki".
Kwa mantiki hiyo basi, sababu kubwa ya kukimbiwa pindi mafanikio yatowekapo ni Unafiki na Ubinafsi.
 

kwa mara ya kwanza shemeji nimeshindwa kukuelewa!
hili jibu ndo kusema umemwambia Kaunga
AHSANTE NASHUKURU ile ya Kongosho au?
manake kama nashindwa kukusoma viiiile af sasa mimi nikishindwa kukusoma sijui naaaaani mwingine atakuokoa !sasa hebu tengeneza hii mineno hapa!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha
I love ur sense of humor.

ahahahahhahahha hii akili yangu hii naijua mwenywe!
BTW jana nilikuwaje na raha fasi ya kuangalia watu kubeach!
lol!
sitaki maswali!:tape2::tape2:
 
Hahaha. Nimelijibu swali lake kwanza ndo nkawataja wengine pia jamani. Nimesema she is right

shemeji tombooooka!
kusemanga tu ahsente Kaunga ndyo umerecognition vile nasikia kumoyo
angejua tu vile wewe uko bien nae!
 
Last edited by a moderator:

ni nini ambacho haujaelewa hapo sehemeji yangu?
 

sijalala mamii busy drawing some graphs. iikuwa very boredom acha tu.

ila Kaunga kwann wakati mwingine watu wa karibu yako sana hata wazazi wanaweza wakawa kinyume na wewe kipindi unapokuwa huna pesa??? je ilitakiwa kweli iwe hivi ama naota tu??
 
Last edited by a moderator:
Watu wanapenda kusaidiwa ... Ila ukifulia maa yake utaanza omba ama tegemea msaada toka kwao... Pia yawezekana hawakuwa marafiki wa kweli kwako

think of ni family moja brothers and sisters among you kuna wenye uwezo, na wapo ambao hali zao sio kivile. je wale wenye uwezo huwa wanakuwa treated vipi??
 
Yeyote asiyejali utu wa mwenzie amepungukiwa hekima.. Pesa imejenga classes kubwa sana kati ya watu..
na nimefika mahali pia nikajiuliza why such classes??
je tunatumia hewa tofauti na matajiri?? siku hizi hata kwenye misiba ikiwa ni wa tajiri utaona hata style ya watu watakao shiriki na kupewa maua wapambe kaburi. kasheshe sasa ni kama ulikuwa tajiri halafu ukaporomoka yaani hata wazazi na ndugu zako watakuacha ufe kibudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…