Proposal ya kilimo cha matikiti

Proposal ya kilimo cha matikiti

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
1,561
Reaction score
1,319

Wakuu naomba msaada kwa mwenye proposal ya kilimo cha matikiti anisaidie, nataka nijilipue huko nna ka capital kangu hapa kama mil 2

NI PM

Natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeguswa na uhitaji wangu
 
Okey mku all the best.....mie proposal hiyo sina lakini nililima matikiti.

Lenga soko vizuri husijevuna ukakutana na wakulima wengine sokoni bei haitokua nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba msaada kwa mwenye proposal ya kilimo cha matikiti anisaidie, nataka nijilipue huko nna ka capital kangu hapa kama mil 2

Email: carroll.mwina@gmail.com

Natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeguswa na uhitaji wangu
Nakushauri saaaaana, hiyo 2 milion ,
Eka moja Lima tikiti na eka moja Lima Maharage
Huu ni ushauri wangu kwako.na sina namna nyingine ya kukwambia watakuletea hiyo Proposal.. Ila Fanya hivyo najua nilichokushauri maana yake nini....
Nimemaliza!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri saaaaana, hiyo 2 milion ,
Eka moja Lima tikiti na eka moja Lima Maharage
Huu ni ushauri wangu kwako.na sina namna nyingine ya kukwambia watakuletea hiyo Proposal.. Ila Fanya hivyo najua nilichokushauri maana yake nini....
Nimemaliza!.

Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru kiongozi
 
Upo wapi mkuu. Mi ni mshauri na mkulima wa matikiti. Natoa service zifuatazo.
. Project plan.
.watermelon farm setting.
.Farm management and supervision.
.Marketing and sales.

‍♂️naenda zimbobo.
 
Upo wapi mkuu. Mi ni mshauri na mkulima wa matikiti. Natoa service zifuatazo.
. Project plan.
.watermelon farm setting.
.Farm management and supervision.
.Marketing and sales.

‍♂️naenda zimbobo.
sasa si ndio umpe anachotaka???
 
Upo wapi mkuu. Mi ni mshauri na mkulima wa matikiti. Natoa service zifuatazo.
. Project plan.
.watermelon farm setting.
.Farm management and supervision.
.Marketing and sales.

‍♂️naenda zimbobo.
Mkuu upo wap me nipo dsm nafikiria kulima Pwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom