Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,680
- 5,653
First, prove the existence of that God.God bless you all
Believe firstFirst, prove the existence of that God.
Ukisha "believe" huyo Mungu anafaidika nini?Believe first
Kwa faida yakoUkisha "believe" huyo Mungu anafaidika nini?
Usipo "believe" huyo Mungu ana pungukiwa nini?
Ina maana huyo Mungu yupo so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?
Kama huyo Mungu yupo, aje ajiongelee yeye mwenyewe, Sio wewe unahangaika kumuongelea na kumuelezea.Kwa faida yako
Kwa sababu is Wanadamu wengi wapo kifungoni
Na wengi kama ninyi msiomuamini
Yupo ndio maana anasema muamini yupo.
Ukiwa karibu naye na yeye atakuwa karibu na wewe
Ukiwa mbali naye ni ww ndio unakaa mbali na yeye ila yeye yupo.
Huo mstari wako wa mwisho unaonesha vile ulivyo sifuri kichwani.Number one means beginning
New things will happen
Number one means uniqueness
It will be unique year
Number one means wholeness
2026
2+ 0 + 2 + 6 = 10
1+0
= 1
-Also there will be new president who is Christian in Tanzania ๐น๐ฟ
He is Chosen by God.
-God will return back Tanzania in Good place.
will there be another election this year ?Number one means beginning
New things will happen
Number one means uniqueness
It will be unique year
Number one means wholeness
2026
2+ 0 + 2 + 6 = 10
1+0
= 1
-Also there will be new president who is Christian in Tanzania ๐น๐ฟ
He is Chosen by God.
-God will return back Tanzania in Good place.
KivipiHuo mstari wako wa mwisho unaonesha vile ulivyo sifuri kichwani.
Niliwahi kumwambia jamaa mmoja haya maneno nusu iwe ugomvi, watu wanaamini wasichokijuaKama huyo Mungu yupo, aje ajiongelee yeye mwenyewe, Sio wewe unahangaika kumuongelea na kumuelezea.
Huyo Mungu kama yupo, ajidhihirishe mwenyewe na kujitetea kama ana huo uwezo.
Sio lazma akutokeeKama huyo Mungu yupo, aje ajiongelee yeye mwenyewe, Sio wewe unahangaika kumuongelea na kumuelezea.
Huyo Mungu kama yupo, ajidhihirishe mwenyewe na kujitetea kama ana huo uwezo.
My favorite emoji ๐๐
Watu wana "fear of unknown".Niliwahi kumwambia jamaa mmoja haya maneno nusu iwe ugomvi, watu wanaamini wasichokijua
Hakuna cha watumishi wala nini.Sio lazma akutokee
Mungu anaongea kwa kutumia Watumishi wake