Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,136
Huku kwetu tuna gwajima mzee wa kuamsha madudu Cjui madude
AiseeProphet Bushiri kuonana naye lazima uweke booking ya zaidi ya laki saba za kitanzania.
Anayebisha nimpe namba awapigie aseme anataka kuonana naye.
Mungu tupiganie sisi wanadamu.
Hata uwe baunsa vipi lazima ulale kwenye chumba kimoja.Analala kwenye vyumba vingapi ?
Hawana mpango na roho yako, they care only your pocket.Kumbe kumuona tu ni laki 7 aisee
vipi kuhusu yule mwananchi wa kipato ha chini anamuonaje ? Au kanisa lake ni la matajiri tu
What goes around always comes around
Kumbe ni wa Zimbabwe. Huyu hata simfuatiliagi.
hata kwenye madini au migodi yenu hapa bongo kawekeza. watz kusemasema tuu maneno mingi. kwani kuna aliyekatazwa kuwa tajiri?Basi ni TAPELI kama MATAPELI wengine.
Ila mbona nilisoma mahali kuwa jamaa alishaanza kuwa tajiri siku nyingi akimiliki kampuni ya simu South Africa.