Prophet Bushiri kanunua Jumba la US$ 12million.

Prophet Bushiri kanunua Jumba la US$ 12million.

Hahahaha aiseee..waumini waendelee kumuomgezea anunue na nyingine zaidi na zaidi

What goes around always comes around
 
Prophet Bushiri kuonana naye lazima uweke booking ya zaidi ya laki saba za kitanzania.
Anayebisha nimpe namba awapigie aseme anataka kuonana naye.
Mungu tupiganie sisi wanadamu.
Kumbe kumuona tu ni laki 7 aisee
vipi kuhusu yule mwananchi wa kipato ha chini anamuonaje ? Au kanisa lake ni la matajiri tu

What goes around always comes around
 
Waumini wake ni ma
240px-Black_Wildebeest.jpg
 
Leo, Nabii Shepherd Bushiri amenunua Jumba la Kifahari lenye thaman ya US$ 12 Million, Sawa na Tsh. Billion 27.6.
a8b41e5527104c6caa6f91286c97d554.jpg

Chanzo: Popular Zimbabwean Pastor Prophet Shepherd Bushiri Acquires New $12million Mansion(PHOTOS) ~ Welcome To Trezzy Helm
d97ab5717ab8941e6bf967514319b2b5.jpg
03c43d61367f4a36e3562593b7c5f24d.jpg
f11ef4d16639dc17785df9e45a87a2f7.jpg
77fa1471887d35829371f456e3070f17.jpg

Kwanini watu wanalalamika sana.
Je, Ni dhambi kwa Watumishi wa Mungu kumiliki Mali? Na Je, Utajiri ni kwa Waumini tu na Wapagani?

Muwe na Jumapili njema.

sent by Samson Cyper
Unaweza kuthibitisha kuwa huyo Bushiri ni Nabii?
 
Prophet Bushiri kuonana naye lazima uweke booking ya zaidi ya laki saba za kitanzania.
Anayebisha nimpe namba awapigie aseme anataka kuonana naye.
Mungu tupiganie sisi wanadamu.
Basi ni TAPELI kama MATAPELI wengine.

Ila mbona nilisoma mahali kuwa jamaa alishaanza kuwa tajiri siku nyingi akimiliki kampuni ya simu South Africa.
 
Basi ni TAPELI kama MATAPELI wengine.

Ila mbona nilisoma mahali kuwa jamaa alishaanza kuwa tajiri siku nyingi akimiliki kampuni ya simu South Africa.
Ingia google uulize kuhusu habari zake utapata mwanga kidogo.
Umri wake ni mdogo tu na si mfanyabiashara wa miaka mingi.
 
Yule mwingine wa Zimbabwe Anaitwa nani? Model model hivi naye ana pesa za kumtosha Lamborghini, Ferrari, Bugati i
059127a31141d143eee10304057924be.jpg


Unamzungumzia Uebert. Hiyo nae ana hela ila sio mtu wa Showoff sana kama Bushiri.

sent by Samson Cyper
 
BUSHIR NI MMALAWI ANAEKAA SOUTH AFRICA...SIO ZIMBABWE. NI MSANII SANA NA MWENZAKE UBERT ANGEL(MZIMBABWE)...HIYO HABARI IMEONGEZWA CHUMVI KIDOGO ILA JAMAA NI MSANII SANA NI MIONGONI MWA MANABII WA UONGO WA KUOGOPWA SANA..
 
hivi wanaoonana naye kuna cha zaidi wanachofaidika
Ni hivi ndugu; Unapoonana na nabii wa Mungu lazima kuna kitu utakipata, unapoonana na nabii wa Lucifer kuna kitu utakipata ila kuna mtego mkuu mbele yako na unapoonana na mtumishi kanjanja hupati kitu zaidi ya kukuharibu mtazamo wako kwa zuga zake nyingi.
Hivyo basi ni heri nikae kimya.
 
Leo, Nabii Shepherd Bushiri amenunua Jumba la Kifahari lenye thaman ya US$ 12 Million, Sawa na Tsh. Billion 27.6.
a8b41e5527104c6caa6f91286c97d554.jpg

Chanzo: Popular Zimbabwean Pastor Prophet Shepherd Bushiri Acquires New $12million Mansion(PHOTOS) ~ Welcome To Trezzy Helm
d97ab5717ab8941e6bf967514319b2b5.jpg
03c43d61367f4a36e3562593b7c5f24d.jpg
f11ef4d16639dc17785df9e45a87a2f7.jpg
77fa1471887d35829371f456e3070f17.jpg

Kwanini watu wanalalamika sana.
Je, Ni dhambi kwa Watumishi wa Mungu kumiliki Mali? Na Je, Utajiri ni kwa Waumini tu na Wapagani?

Muwe na Jumapili njema.

sent by Samson Cyper
Hana namna,maana wajinga kila siku wanampelekea pesa kwa hiali
 
Kwani ni dhambi kwa mtumishi wa Mungu kuwa tajiri? Tena huyo Nabii si anayo mpaka ndege yake binafsi pia anamiliki vitega uchumi kibao mpaka mgodi hizo hela si ndiyo zake? Imani ni kitu kingine kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo, Nabii Shepherd Bushiri amenunua Jumba la Kifahari lenye thaman ya US$ 12 Million, Sawa na Tsh. Billion 27.6.
a8b41e5527104c6caa6f91286c97d554.jpg

Chanzo: Popular Zimbabwean Pastor Prophet Shepherd Bushiri Acquires New $12million Mansion(PHOTOS) ~ Welcome To Trezzy Helm
d97ab5717ab8941e6bf967514319b2b5.jpg
03c43d61367f4a36e3562593b7c5f24d.jpg
f11ef4d16639dc17785df9e45a87a2f7.jpg
77fa1471887d35829371f456e3070f17.jpg

Kwanini watu wanalalamika sana.
Je, Ni dhambi kwa Watumishi wa Mungu kumiliki Mali? Na Je, Utajiri ni kwa Waumini tu na Wapagani?

Muwe na Jumapili njema.

sent by Samson Cyper
wananunua majumba ya kifahari hali za waumini wao?
 
Ni mmalawi anayeishi South Africa si mzimbabwe mwandishi kachemka. Makao makuu ya kanisa lake ni Pretoria nadhani. Na bongo ana tawi Makongo.
singida pia lipo maeneo ya mwenge/minga.Ila halina ubora kulingana na fedha alizo nazo.Ni la kuta za mabari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom