lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,159
- 33,397
Kwanini lisu na chadema hawachukui tahadhali yoyote zidi ya kuenea kwa korona, au nao wameunga juhudi kimya kimya kwa JPM kuwa korona imeisha na haipo tanzania?Wakati vijana wa vyama vya Upinzani na nchi nyingine wana uchungu wa kweli wa nchi zao, vijana wa CCM ni wachumia matumbo, wanatumiwa, wanatumiwa na wanatumiwa na watu wachache Sana wa nchi hii ili kuwaingiza watu hao madarakani na wao vijana kujipatia mkate kwa ajili ya siku.
Vijana wa CCM huwezi kuwafananisha na kijana Kama Julius Malema.
Propaganda ya picha.
Vijana wa CCM wamekuwa wakiwahi kwenye kiwanja ambacho atahutubia ama atafanyia mkutano wake Nguli wa Sheria hapa Tanzania ambae anagombea Urais mwaka huu nduguTundu Lissu.
Wamekuwa wakiwahi na vikamera vyao ama simu na kupiga picha mwanzo kabisa pale watu wanavyoanza kuja mkutanoni kwa sababu wakati huo huwa watu huwa hawajawahi wengi.
Baada ya hapo huja na propaganda kuwa Lissu hakupata watu kabisa, hivyo hakubaliki.
Mbinu hii ya kupiga picha mwanzo kabisa wa Mkutano kabla hawajajaa wameiua wakiitumia Sana kudanganya watu mitandaoni ili kuwakatisha tamaa.
Mbinu ya pili huwa wanapiga picha katika uwanja ambapo panakuwa na watu wachache waliokaa, kwa mfano kuna watu huwa hawapendi kukaa juani na wengine wenye matatizo ya kiafya hivyo hupenda kukaa mbali na misongamano ya watu.
Na kwa kawaida watu Hawa huwa Ni wachache, hivyo husema Lissu kakosa watu, hakubaliki.
Vijana hawahawa wa CCM kukiwa na idadi kubwa ya wahudhuriaji wa Mkutano wa Lissu wanakuambia watu kuwa wengi kwenye mkutano haimaanishi ndio watakupigia kura, watakupa Vi mifano:- Mrema alikua na watu Sana, Slaa alikua na watu Sana, Hakuna nyomi Kama ya Lowassa.
Vijana Hawa Hawa wa CCM ikitokea mkutano wa Lissu Ukawa na watu wachache, wanakuambia CHADEMA haikubaliki, Lissu hakubaliki. Ki ukweli mikutano ya Lissu inasikilizwa na watu makini na mikutano ya CCM inasikilizwa na wafuata Burudani.
Mimi nitamchagua Lissu na Mbunge wa CHADEMA na diwani wa CHADEMA.
Chagua Lissu ili kufanya nchi kuwa nchi inayoongozwa kwa utawala wa sheria na sio mawazo ya Mtu mmoja.
Hali, Uhuru na maendeleo ya watu.
Anzisha mada inayobusiana na hili,tutaijadili,hoja yangu hapa Ni propaganda ya picha inayotumiwa na UVCCM na Lumumba B7Kwanini lisu na chadema hawachukui tahadhali yoyote zidi ya kuenea kwa korona, au nao wameunga juhudi kimya kimya kwa JPM kuwa korona imeisha na haipo tanzania?
Yani corona ndo sera mliyobakinayo ndo ahadi mliyohaidi wakati mnaingia madarakani kwanini msiwe ni manabii wa uponyaji makanisanKwanini lisu na chadema hawachukui tahadhali yoyote zidi ya kuenea kwa korona, au nao wameunga juhudi kimya kimya kwa JPM kuwa korona imeisha na haipo tanzania?
Lissu akipata wasikilizaji wengi wanakuambia,ooh idadi kubwa ya watu haimaanishi kuwa wote watampigia kura.CCM is dead!
Mikutano ya Magufuli imejaa watu wa Aina nne.Naomba Aerial view ya picha zenu
Kijana hilo swali lijibiwe,viongozi wenu ni wanafki mbona hawapambani na korona?An,ish
Anzisha mada inayobusiana na hili,tutaijadili,hoja yangu hapa Ni propaganda ya picha inayotumiwa na UVCCM na Lumumba B7
π€£π€£π€£π€£π π π π π π π€£π€£π€£π€£ Utamuua Mzeeeeeee au hujui kama amechanganyikiwaKwanini lisu na chadema hawachukui tahadhali yoyote zidi ya kuenea kwa korona, au nao wameunga juhudi kimya kimya kwa JPM kuwa korona imeisha na haipo tanzania?
Utetezi mfu,ndio maana mnafanya huu upumbavu?,hii ni ya Lowassa 2015Inafahamika kuwa Viajana wa CCM ndio vijana wenye upeo mdogo Sana wa kufikiri katika mambo muhimu yanayohusu nchi na Dunia.
Vijana Hawa Ni tofauti na vijana wa nchi nyingine Hapa Afrika na Duniani.
Wakati vijana wa vyama vya Upinzani na wa nchi nyingine huwa wanauchungu wa kweli wa nchi zao, Hawa wa CCM ni mbumbumbu na wachumia matumbo,wanatumiwa,wanatumika na wanatumikishwa na watu wachache Sana wa nchi hii ili kuwaingiza watu hao madarakani, na wao vijana kujipatia mkate kwa ajili ya siku.
Vijana wa CCM huwezi kuwafananisha na kijana Kama Julius Malema.
Propaganda ya picha.
Vijana wa CCM wamekuwa wakiwahi kwenye viwanja ambavyo atahutubia ama atafanyia mkutano wake Nguli wa Sheria hapa Tanzania ambae anagombea Urais mwaka huu nduguTundu Lissu.
Wamekua wakiwahi na vikamera vyao ama simu na kupiga picha mwanzo kabisa pale watu wanavyoanza kuja mkutanoni kwa sababu wakati huo watu huwa hawajawa wengi.
Baada ya hapo huja na propaganda kuwa Lissu hakupata watu kabisa ,hivyo hakubaliki.
Mbinu hii ya kupiga picha mwanzo kabisa wa Mkutano kabla watu hawajajaa wamekua wakiitumia Sana kudanganya watu mitandaoni ili kuwakatisha tamaa.
Mbinu ya pili Ni kuwa huweza kwenda kwenye mikutano yenye Watu wengi Sana lakini wao hupiga picha katika maeneo au sehemu ambazo panakuwa wamekaa watu wachache,kwa mfano Kuna watu huwa hawapendi kukaa juani,na wengine wenye matatizo ya kiafya hivyo hupenda kujitenga au kukaa mbali na misongamano ya watu.
Na kwa kawaida watu Hawa huwa Ni wachache,hivyo husema Lissu kakosa watu,hakubaliki.
Vijana hawahawa wa CCM kukiwa na idadi kubwa ya wahudhuriaji wa Mkutano wa Lissu wanakuambia,watu kuwa wengi kwenye mkutano haimaanishi ndio watakupigia kura,watakupa Vi mifano.Mrema alikua na watu Sana,Slaa alikua na watu Sana,Hakuna nyomi Kama ya Lowassa.
Vijana Hawa Hawa wa CCM ikitokea mkutano wa Lissu Ukawa na watu wachache,wanakuambia Chadema haikubaliki,Lissu hakubaliki.
Ki ukweli mikutano ya Lissu inasikilizwa na watu wengi na makini sana,na mikutano ya CCM inasikilizwa na watu wachache sana makini,waliobaki ni wafuata Burudani.
Vijana wa CCM Ni hasara kwa Taifa na bara la Afrika.
Mimi nitamchagua Lissu na mbunge wa Chadema na diwani wa Chadema.
Chagua Lissu ili kufanya nchi kuwa nchi inayoongozwa kwa utawala wa sheria ,sio mawazo ya Mtu mmoja.
Chagua
Haki,Uhuru na maendeleo ya watu.
Tutaendelea kuwakumbusha zile kiki zao zote.π€£π€£π€£π€£π π π π π π π€£π€£π€£π€£ Utamuua Mzeeeeeee au hujui kama amechanganyikiwa