Propaganda za kidini zaanza Zanzibar

kama ukristo hauenezi chuki na NI dini ya kistaarabu, mbona kanisa limeshutumiwa vikali na hata baadhi ya viongozi wake wamepatikana na hatia kwa kuchochea mauaji ya halaiki rwanda mwaka 1994 na hata kuruhusu mauaji ndani ya kanisa kwa watusi waliokimbilia kanisani kujinusuru?

ama kuhusu huu waraka siwezi kusema umetoka kanisani au laa, bali unazidi kuniweka ktk hali ya tahadhari kutokana na tabia ya kanisa ya utata kuhusu historia yake!!!!

What you're doing is called 'intellectual masturbation'!
 
Kwa nyaraka kama hizi, za ukweli au zile za uongo, ni vema tuelewe kwamba kuna tatizo mahala yenye MTOKOTO wa kiudini udini mahala hapa nchini. Muda utatupa Jibu.
 
Back
Top Bottom