Propaganda vs facts!

Kama lumumba ndio wamekutuma wewe basi kazi kweli kweli.Soma tena kwa umakini hoja za malisa ndio utaelewa ulipaswa kuzungumzia nini
Hili jibu nililolitoa kiboko. Wewe ni kima kutoka chadema sijui wa hamsini na ngapi mnanukuu uzi huu huu halafu hamtoi hoja mpya. Basi simseme mmeelewa tu kuliko huu usaha usio kichwa wala miguu.
 
kwa maelezo yako hapo juu nimetoka kapa.... labda kwanza unisaidie kujua maana ya hiyo misamiati yako mipya (in red).

halafu data ni muhimu zaidi.
Matini ndio kiswahili labda kiingereza chake notes. Kufaulu ni kufanya vizuri kwenye mtihani.
Aliyekufundisha neno data hakumaliza mwambie aendelee kukufundisha. Kama uliondoka ukidhani umeelewa somo rudi kwa kasi kubwa ukapate darasa.
 
Matusi hutusaidia sisi kujua umelelewa katika mazingira gani, maana haya wezi matusi kujibu hoja.
Hili jibu nililolitoa kiboko. Wewe ni kima kutoka chadema sijui wa hamsini na ngapi mnanukuu uzi huu huu halafu hamtoi hoja mpya. Basi simseme mmeelewa tu kuliko huu usaha usio kichwa wala miguu.
 
Matini ndio kiswahili labda kiingereza chake notes. Kufaulu ni kufanya vizuri kwenye mtihani.
Aliyekufundisha neno data hakumaliza mwambie aendelee kukufundisha. Kama uliondoka ukidhani umeelewa somo rudi kwa kasi kubwa ukapate darasa.

ulivyoandika mwanzoni na nikakuomba data nilidhani ninamu-engage intellectual. how do I now seem to have been so wrong?

ngoja nirudie mahitaji yangu hapa chini.....:

1. Malisa ametoa data. nimezielewa na nimeridhika. kwa vile una kitu mbadala na Malisa, nawe toa data hapa

2. neno "matini" sijui maana yake, ndiyo maana nikakuomba unisaidie kujua maana. ombi langu liko pale pale

3. niliuliza maana ya neno "kufauru" kwa vile sikujua maana yake. naona kwenye jibu lako umeandika "kufaulu", neno ambalo nalijua maana yake. kumbe sikukosea kukuuliza. impliedly, inawezekana pia hata hilo # 2 hapo juu ulitaka kumaanisha neno jingine ninalolijua.

ushauri wangu kwako:

1. ongeza kidogo umakini, unaweza kuwa na kitu cha kujifunza kutoka kwa mtu mwengine ukitulia
2. mimi ni mwalimu, ukihitaji msaada (primary - university), usisite kuni-pm. who knows?
 
Nashukuru umejifunza hayo machache. Hata ukiwa na elimu ya kiwango cha darasa la pili nitajifunza kutoka kwako. Moja ninachoweza kujifunza ni namna ubongo wako unavyoelewa mada na kuniwezesha kutafuta zana ya kufundishia kwa ajili ya ubongo wako na wengine wanaoelewa polepole. Matini machache picha nyingi!!!!!
 

aisee!

hii nchi kweli kazi tunayo...

it sums up the brutal fact that i.d.i.o.t.s like "vibajaji" can end up being MPs!
 
Hivi mtu akir hivi mtu akireseat na kupata dv.two au one anasoma certificate? Bila shaka anaanzia diploma!hongera kwa hoja
 
Malisa tatizo lako unatoa hoja kwa hisia. Jesca yupo chuon na chuo kipo Tanzania kwann unitafute facts kwa kwenda chuon au kupiga simu AU kutuma watu wafuatilie ili waje na facts.
Upo tena mkubwa kabisa wa Jesca kutafuta qualification na akawa na sifa za kujiunga na chuo. Kwanza appreciate kuwa watoto wa rais wetu wanasoma chuo cha kawaida sana pamoja na waTanzania wa kutoka kipato cha chini. Hiyo moja
Pili Kubali kuwa hakuna mwanafunzi wa udom alieondolewa chuon kwa sabb ya qualification ukiondoa wale wa diploma maalumu so inawezekana kabisa na yy akaondolewa iwapo hana sifa kama zoezi hilo litafika kwa wanachuo wote wa udom.
Tatu wakati ule mfuko uliruhusu kujiunga kidato cha tano huku ukijiandaa kufanya re seat exam. AU kusoma mwaka moja form five na six so vyote anaweza kuvifanya.
Lakini pia ni kutafuta entry qualification za Jesca na sio matokeo ya form four then ukishazipata ndo uanze kutafuta kama ni halali.

Nimeona nikusaidie kidogo tu kuwa jitahidi kutumia ubongo kiasi punguza u nyumbu.
 
Acha niwe taahira tu kwenye hilo. Usome shule nzuri upate div 4 ya point 30, then from no where asome certificate na diploma withn 2years. Leo hii anaingia mwaka wa tatu chuo kikuu. Mkuu niweke kwenye kundi la mataahira tu.
 
Acha niwe taahira tu kwenye hilo. Usome shule nzuri upate div 4 ya point 30, then from no where asome certificate na diploma withn 2years. Leo hii anaingia mwaka wa tatu chuo kikuu. Mkuu niweke kwenye kundi la mataahira tu.
Tena kwa ulichochangia sasa naona hata hapo nimekusifu. Akili ya mwanadamu wa kawaida si mgando, hujifunza kutokana na makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…