Propaganda na uwongo wa Mrusi dhidi ya Ukraine

Propaganda na uwongo wa Mrusi dhidi ya Ukraine

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji706][emoji706]
Facts zangu hizo hapo haya nawe tuletee zako
Screenshot_20220416-112410.jpg
 
... anashambulia vituo vya kijeshi vya Iran alivyowekeza Syria kwa ajili ya proxies wake akina Hezbollah ambavyo wamekuwa wakivitumia kushambulia Israel. Muda utakapowadia, ataenda Tehran kwenyewe itakapothibitika kuna kipande cha kokoto kimerushwa moja kwa moja kutokea Tehran.
Basi kama Israel ina haki ya kushambulia Syria ili kuizuia Iran kuweka kambi zake,basi na Urusi ina haki ya kushambulia Ukraine ili kuzuia Marekani kuweka kambi zake kwa hiyo punguza ujuaji.
 
Basi kama Israel ina haki ya kushambulia Syria ili kuizuia Iran kuweka kambi zake,basi na Urusi ina haki ya kushambulia Ukraine ili kuzuia Marekani kuweka kambi zake kwa hiyo punguza ujuaji.
Ila sijawahi sikia Marekani akisema anataka kuweka kambi zake Ukraine ndio nasema hizo ni Fake Propaganda
 
Basi kama Israel ina haki ya kushambulia Syria ili kuizuia Iran kuweka kambi zake,basi na Urusi ina haki ya kushambulia Ukraine ili kuzuia Marekani kuweka kambi zake kwa hiyo punguza ujuaji.
... ni lini Marekani au Ukraine walitangaza kuifuta Russia kwenye uso wa dunia? Mbona unalinganisha maparachichi na machungwa?
 
Vipi na Russia alishawahi kutangaza kuivamia US?Mbona US alikuwa tayari Kwa vita na Russia iwapo Russia angeweka Kambi ya kijeshi Cuba?
... weka source ya hayo madai yako hapa!
 
Unazungunza haya ukiwa wapi? Umeona hiyo hasara wapi? BBC?

Achana na migogoro ya watu weupe na ujenge nchi yako huu ndio wakati sahihi kabisa huku bidhaa zimepanda Sana
Ikifika wakati wa kutembeza bakuli hizo lugha waga hazipo.!
 
... nikatafute kitu ambacho hakipo?
Acha uvivu,nenda google kaandike hivi "Cuba missile crisis"!
Soma maelezo yote Kwa makini!
Sijakurupuka kukueleza hivyo,JF tunapeana maarifa Mapya!
 
Back
Top Bottom