Propaganda na uwongo wa Mrusi dhidi ya Ukraine

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,881
Huku tukiendelea na Juma kuu la Pasaka kwa kushuhudia ndugu zetu wa Ukraine wakiwa wameenea dunia nzima kama wakimbizi na kuuliwa pasipo sababu za msingi kisa propaganda zisizo na mantiki kutoka kwa Mrusi.

Mpaka leo ukiniuliza Mrusi alichogundua kama hatari kwake kutoka Ukraine sina jibu la moja kwa moja mwanzo wa vita alikuja na propaganda zake za Demilitarization & Denazification kwa kushambulia miundombinu ya kijeshi na kuwatawanya Wakraine Ulaya yote hayo yote yamefanyika ila bado jamaa anaendelea kumwaga makombora yake kwenye miji tofauti ya Ukraine.

Hakuna faida yoyote Mrusi anayopata kutokana na vita hii zaidi ya yeye mwenyewe kupata hasara na tunayoshuhudia mpaka sasa Bucha massacre's akiua na kuharibu future za watoto wa Ukraine.
 
Unazungunza haya ukiwa wapi? Umeona hiyo hasara wapi? BBC?

Achana na migogoro ya watu weupe na ujenge nchi yako huu ndio wakati sahihi kabisa huku bidhaa zimepanda Sana
 
Israel kaishambulia Kwa anga Syria baada ya kugundua kuwa Iran ana wanamgambo huko Syria!Kwa maelezo ya Israel,ni hatari Kwake kuwapo Kwa wanamgambo hao nchini Syria!
Kwa maelezo hayo,unaielewa logic Putin?
 
Ww ni nani ndani ya Urusi mpaka useme vita haina faida kwa Urusi?
Msemaji wa Kremlin boss au kuna lingine unataka kuniuliza bwashee
 
Mtu kakamata mikoa yako yenye bandari na migodi alafu useme kwake hana faida anayopata.inabidi ukapimwe akili wewe
Huku tukiendelea na Juma kuu la Pasaka kwa kushuhudia ndugu zetu wa Ukraine wakiwa wameenea dunia nzima kama wakimbizi na kuuliwa pasipo sababu za msingi kisa propaganda zisizo na mantiki kutoka kwa Mrusi.

Mpaka leo ukiniuliza Mrusi alichogundua kama hatari kwake kutoka Ukraine sina jibu la moja kwa moja mwanzo wa vita alikuja na propaganda zake za Demilitarization & Denazification kwa kushambulia miundombinu ya kijeshi na kuwatawanya Wakraine Ulaya yote hayo yote yamefanyika ila bado jamaa anaendelea kumwaga makombora yake kwenye miji tofauti ya Ukraine.

Hakuna faida yoyote Mrusi anayopata kutokana na vita hii zaidi ya yeye mwenyewe kupata hasara na tunayoshuhudia mpaka sasa Bucha massacre's akiua na kuharibu future za watoto wa Ukraine.
 
Israel kaishambulia Kwa anga Syria baada ya kugundua kuwa Iran ana wanamgambo huko Syria!Kwa maelezo ya Israel,ni hatari Kwake kuwapo Kwa wanamgambo hao nchini Syria!
Kwa maelezo hayo,unaielewa logic Putin?
Twende na propaganda zake achana na Israel jamaa alikuja Mara kuna maabara sijui ya kuwaua warusi inatengenezwa Ukraine mpaka leo sijaona hiyo maabara.
 
Mtu kakamata mikoa yako yenye bandari na migodi alafu useme kwake hana faida anayopata.inabidi ukapimwe akili wewe
Kama mkoa kaka,,, Mariopol and Kherson ndio hiyo anapambana mpaka leo hebu niambie mkoa ambao ameuchukua mazima zaidi ya Crimea ambayo anakaa kibabe.
 
Unazungunza haya ukiwa wapi? Umeona hiyo hasara wapi? BBC?

Achana na migogoro ya watu weupe na ujenge nchi yako huu ndio wakati sahihi kabisa huku bidhaa zimepanda Sana
Kiongozi hata kupoteza wanajeshi na Vifaru plus Moskva ni hasara
 
Israel kaishambulia Kwa anga Syria baada ya kugundua kuwa Iran ana wanamgambo huko Syria!Kwa maelezo ya Israel,ni hatari Kwake kuwapo Kwa wanamgambo hao nchini Syria!
Kwa maelezo hayo,unaielewa logic Putin?
... Iran imetangaza fatwa kuifuta Israel katika uso wa dunia; na wamekuwa wakuridia sio mara moja wala mbili azma yao hiyo ya kulifuta taifa la Israel duniani; na sio tu maneno matupu bali wamekuwa wakipeleka vikosi na zana Syria kutekeleza lengo lao hilo. Huoni tofauti?
 
Pia Urusi naye alitangaza kuifuta Ukraine kwenye ramani ya Dunia hawa watawala tyranny sijui wanapata wapi hivi viburi wasome historia ya Nyuma wapi Hilter leo, wap Stallin, wap Musolin.
 
Niambie mariupol majeshi ya serikali yana udhibiti wa hata mtaa gani.warusi wametangaza kuchukua mariupol na wameonyesha bendera zao kwenye majengo yote ya serikali ya kila wilaya na mitaa.sasa ukraine anabisha kwa mdogo ili waonekane bado wapo Mariupol. Kherson gani iyo mapigano yanaendelea au unaongelea nnje ya mji wa kherson.ebu cheki vizuri ramani alafu uniambie
Kama mkoa kaka,,, Mariopol and Kherson ndio hiyo anapambana mpaka leo hebu niambie mkoa ambao ameuchukua mazima zaidi ya Crimea ambayo anakaa kibabe.
20220416_092057.jpeg
 
Kiongozi hata kupoteza wanajeshi na Vifaru plus Moskva ni hasara
Dogo ujue huu ni uzi wako kama wa tatu nauona unasema tu "Russia anapata hasara"

Hebu tueleze kiundani hasara ya bei gani anapata na kiwango gani, kiasi gani sisi tusiojua au unafuata mkumbo tu.
 
Unazungunza haya ukiwa wapi? Umeona hiyo hasara wapi? BBC?

Achana na migogoro ya watu weupe na ujenge nchi yako huu ndio wakati sahihi kabisa huku bidhaa zimepanda Sana
Boss mbona makasiriko sana kupanda bei pia viongozi wetu wa kiafrika wanachangia.
 
Twende na propaganda zake achana na Israel jamaa alikuja Mara kuna maabara sijui ya kuwaua warusi inatengenezwa Ukraine mpaka leo sijaona hiyo maabara.
Hakusema Kuna maabara ya kuwaua warusi,msipende kulisha watu maneno!Russia ilisema US anatoa fedha kufadhili maabara za kutafiti biological weapons nchini Ukraine!US akajibu kuwa Russia ana Mpango wa kutumia biological weapons nchini Ukraine!
Kama Russia angekuwa ameikamata nchi ya Ukraine,basi tungeuliza hizo maabara ziko wapi?Ni kama US alivyoulizwa silaha za nuclear ziko wapi Afghanistan?
Lakini hilo la silaha za kibaiolojia liliibuka katikati ya vita!So Wala haikuwa sababu kuu ya uvamizi!
 
Boss mbona makasiriko sana kupanda bei pia viongozi wetu wa kiafrika wanachangia.
Mbona nimekuuliza simple tu umeyaonea wapi haya ya hasara?

Bei kupanda watawala wanachangia kivipi wakati wanakwenda na mdundo wa mabeberu unawaowafuatilia?
 
Back
Top Bottom