Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,881
- Thread starter
- #21
Wanajeshi elfu 20 kulala chini sio mchezo Dogo.Dogo ujue huu ni uzi wako kama wa tatu nauona unasema tu "Russia anapata hasara"
Hebu tueleze kiundani hasara ya bei gani anapata na kiwango gani, kiasi gani sisi tusiojua au unafuata mkumbo tu.