Propaganda chafu za Netanyahu kwa bara la Afrika

Propaganda chafu za Netanyahu kwa bara la Afrika

Hilo ni kweli kabisa, ukiona kiongozi wa Kizungu anakuja Afrika ujue kuna sababu maalumu na kwa kuwa sisi tuna IQ ndogo Wazungu wanasema IQ ya Kusini mwa Sahara ni 70 wkt ile ya Dunia nje ya kwetu inaanzia 90 kuendelea (hii ni kulingana na hao Wazungu tunaowaabudu hivyo usinihukumu)!

Kilichomleta Netanyahu Afrika ndicho kile kile kilichomleta Kim wa Korea Kaskazini na ndicho kilichomleta Park wa Korea Kusini Afrika pia, hawa wote wanahitaji mtu wa kuwaunga mkono kwenye mambo yao huko UN, sasa kwa kuwa Dunia nje na Afrika watu wanajitambua sehemu pekee ya wao kupata kura za bure ni Afrika kwetu (Kusini mwa Sahara) hakuna kingine, wanazuga kuja na Wafanyabiashara lkn ajenda ndiyo hiyo wanataka kura za Afrika huko UN, sasa Israeli (hasa utawala wa Netanyahu) unabanwa na Dunia nzima kuhusu uonevu wanaowafanyia Wapalestina hata Ulaya wanasapoti Palestianian State mpaka Obama mwenyewe sasa wanahitaji (Isreali) mtu wa kuwasapoti huko UN ni nani huyo?



Ndiyo maana nampenda na kumkubali Raisi wangu Magufuli, hana mpango na hao takataka na wala kwanza hajaenda kwenye upuuzi wao!!

Long live raisi Magufuli!

Umetoa ufafanuzi sahihi kabisa. Kuna vitu ambavyo watu wengi wa chini ya jangwa la Sahara hawavielewi hasa pale inapokuja aspect ya foreign policy na diplomacy ya nchi za hawa wenzetu. Nimeona hata kwenye hii thread kuna watu wanaleta ubishi bila kuelewa kile wanachokibishania kwa undani/usahihi.
 
Nashangaa nyie wakristo mnawasaport wayahudi wakati hao hao mayahudi ndio walimkataa Yesu na Wakamuua hivi hamulitambui hilo?
We mbugila hayo yalitokea ili unabii utimie sawa
 
Ndio maana nikasema hujui unachokiongea kila cku ni mtu wa kuropoka tu.

Wewe ndiye mropokaji huwezi kujua mtu akifa yuko motoni anateseka kwani wewe ni mjumbe wa mnyazimungu,acha kujifanya kujua ya peponi wewe.wewe mwenyewe hapo ulipo umepigika unasubiri tu na wewe hukumu na usije kushangaa Sharon akawa mbinguni na wewe ukawa motoni na mapepo yako.
 
Kama kwa akili yako unasema poroja waulize Wafuga mamidevu na majini watakuambia kama ni porojo ama si porojo,baba zao waliwasimlia yaliyotokea 1948 na 1967 walikiona kilichomtoa kanga manyoya.


Mkuu:
Amani iwe juu yako, huna haja ya kutoka povu, swali la msingi hapa hujalijibu (hizo itifaki zinazosainiwa kila mwezi (USA/ISRAEL) ni za nini.
 
Mkuu pole sana.
"Jambo usilo lijua ni kama usiku wa kiza."

Aksante sana mkuu,mimi nilitarajia sana utafatilia itifaki zilizosainiwa na nchi yako Tanzania,badala yake umeshupalia ya Israel/US sijui una maslahi gani na itifaki hizo??Ni kweli usilolijua ni usiku wa giza.
 
Kama kwa akili yako unasema poroja waulize Wafuga mamidevu na majini watakuambia kama ni porojo ama si porojo,baba zao waliwasimlia yaliyotokea 1948 na 1967 walikiona kilichomtoa kanga manyoya.
Mbona hata yesu alifuga ndevu
 
Huwa siichoki kuangalia documentary ya '' 6 DAYS WAR '' Myahudi ni shida Misri kala za uso ndani ya siku nne na kunyang'anywa eneo la Sinai mpaka walipowekeana mkataba ndio wakarudishiwa eneo lao.
 
Kiongozi huyu atakumbukwa kwa jinsi alivyohutubia bunge la Israel Knesset kuwashawishi kupitisha sheria ya kuwafunga vizazi au kuwachoma sindano za sumu waafrika wote waishio israel bila huruma.
kaka, naomba link address ya habari hii nisome mimi mwenyewe kwa macho yangu
 
Wazir mkuu wa israel benjamen netanyahu anafanya ziara Afrika.

Ziara hili anadai ni.kuimarisha uhusiano na bara la Africa.

Lakini duru za chinichini zinadai amekuja baada ya kuona israel imepoteza ushawishi katika nchi za ulaya na marekani.

hivyo bhas anatafutwa uungwaji mkono kutoka Afrika.

Lakini huyu ndo netanyahu yuleyule muuaji wa Wapalestina.

Adui wa waafrika anayechukia ngozi.nyeusi na pia mbaguzi.

Aliyetoa speech kwamba waafrika wanajua ngono tu, kuzaa tu, hawafikirii.maendeleo,
Kiongozi huyu atakumbukwa kwa jinsi alivyohutubia bunge la Israel Knesset kuwashawishi kupitisha sheria ya kuwafunga vizazi au kuwachoma sindano za sumu waafrika wote waishio israel bila huruma.

Je, kiongozi mbaguzi kama huyu kuna haja gani ya kujisogeza karibu naye?
Israel bado ni tegemezi haiwez kusurvive bila Marekani.

Naipongeza sana tanzania kwa kwa kutoa ushirikiano.mdogo sana kwa kiongozi huyu mpenda vita wa utawala hatari wa Israel.

Tena kusingekua na haja ya kumtuma hata waziri nchi zote zinapaswa kuvunja uhusiano na utawala huu haramu unaokalia ardhi za palestina kwa mabavu utawala unaoua wanawake na watoto wadogo wasio na hatia huko Gaza.
badget ya Israel kwa ajili ya jeshi pekee take in USD Bill 16, wakati budget ya tz nzima tena iliyo vunja record in USD bill 13,
 
Aksante sana mkuu,mimi nilitarajia sana utafatilia itifaki zilizosainiwa na nchi yako Tanzania,badala yake umeshupalia ya Israel/US sijui una maslahi gani na itifaki hizo??Ni kweli usilolijua ni usiku wa giza.

Pole sana.
Siku hizi kila mtu anaijua siasa.
 
Wewe mwongo dhibitisha kwa maandiko

Haki ya Kuishi (Maisha)
Kila mtu pasina ubaguzi wa aina yoyote ana haki ya kuishi na kulindwa maisha yake. Kumuua mtu yeyote awaye ni kosa la jinai na muuaji ni lazima ahukumiwe kwa sheria ya Kiislamu. Makemeo ya Qur'an kuhusu kosa hili yanadhihirisha kwa uwazi ubaya wa kumuua mtu yoyote pasi na haki:
Kwa sababu ya hayo tukawaandikia wana wa Israil ya kwamba atakayemuua mtu bila ya yeye kuua mtu, au bila ya kufanya fisadi katika nchi; basi ni kama amewaua watu wote... (5:32).
"... Wala msimuue mtu ambaye Mwenyezi Mungu ameharamisha (kuuawa) ila ikiwa (imetokea) haki (ya kuuawa)..." (6:151).
Hukumu ya muuaji ni kuuawa kama inavyobainishwa katika Qur'an:
Wala msiue nafsi ambaye Mwenyezi Mungu ameiharamisha kuuawa isipokuwa kwa haki (Akahukumu hakimu wa Kiislamu kuwa mtu amestahiki kuuawa na akatoa amri ya kuuawa), nani mwenye kuuawa kwa kudhulumiwa, basi tumempa nguvu mrithi wake (juu ya muuaji huyo, akitaka ataomba kwa hakimu kuwa amuue au akitaka amtoze fidia au akitaka (amsamehe). (17:33).
 
قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ
Soma pia hapa
يَسْأَلُونَكَ عَنِ الشَّهْرِ الْحَرَامِ قِتَالٍ فِيهِ ۖ قُلْ قِتَالٌ فِيهِ كَبِيرٌ ۖ وَصَدٌّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ وَكُفْرٌ بِهِ وَالْمَسْجِدِ الْحَرَامِ وَإِخْرَاجُ أَهْلِهِ مِنْهُ أَكْبَرُ عِندَ اللَّهِ ۚ وَالْفِتْنَةُ أَكْبَرُ مِنَ الْقَتْلِ ۗ وَلَا يَزَالُونَ يُقَاتِلُونَكُمْ حَتَّىٰ يَرُدُّوكُمْ عَن دِينِكُمْ إِنِ اسْتَطَاعُوا ۚ وَمَن يَرْتَدِدْ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَيَمُتْ وَهُوَ كَافِرٌ فَأُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ ۖ وَأُولَٰئِكَ أَصْحَابُ النَّارِ ۖ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ
Na hapa

وَدُّوا لَوْ تَكْفُرُونَ كَمَا كَفَرُوا فَتَكُونُونَ سَوَاءً ۖ فَلَا تَتَّخِذُوا مِنْهُمْ أَوْلِيَاءَ حَتَّىٰ يُهَاجِرُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ ۚ فَإِن تَوَلَّوْا فَخُذُوهُمْ وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ وَجَدتُّمُوهُمْ ۖ وَلَا تَتَّخِذُوا مِنْهُمْ وَلِيًّا وَلَا نَصِيرًا.
 
Back
Top Bottom