Alex Tanzania
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 782
- 652
Nawachukia sana wazungu, hakuna jema hata moja wanalofikiria dhudi ya ngozi nyeusi, popote pale penye vita zinazopelekea kufa watu wasio na hatia mhusika ni Mzungu, wanatuundia silaha wanatugonganisha vichwa wao wanauza silaha sisi tunamalizana, wanatengeneza magonjwa maabara wanayasambaza Africa watuuzie dawa, wanatupora rasilimali zetu za asili mfano madini, ges na mafuta kwa mikataba mibovu yenye shinikizo na vitisho au kwa bunduki wanatuletea vyandarua ambavyo hatujui madhara yake. Nawachukia kweli.
Pole