Propaganda chafu za Netanyahu kwa bara la Afrika

Propaganda chafu za Netanyahu kwa bara la Afrika

Mwenyezi Mungu anahukumu hapa hapa duniani nyatanyao amkumbuke mwenzake Mwenyezi Mungu kamzalilisha hapa duniani kwa ukatili wake aliouonyesha .alilazwa hospitali kwa miaka minane alikuwa hajitambui .hizo ni baadhi tu za hukumu za Allah hapa hapa duniani
Dua la kuku halimpati mwewe,mtalalama weeeeeee mwisho mtalala.
 
Aron shalon aliteseka hapa hapa duniani
Wewe mjinga nani alikudanganya hapa duniani kuna raha,hapa duniani raha ni kitambo tu hata wewe hapo umepigika ile mbaya usidanganye watu hapa.
 
Nashangaa nyie wakristo mnawasaport wayahudi wakati hao hao mayahudi ndio walimkataa Yesu na Wakamuua hivi hamulitambui hilo?
 
Mtoa mada pambeetyu umeonyesha jinsi gani ulivyo mbumbumbu kwa mambo na siasa za mashariki ya kati ukilinganisha na miaka mingine Israel imeendelea kupata marafiki wengi Afrika moja ya mafanikio makubwa na kuwa na Ubalozi wake hapa nchini na kumekuwa na mashirikiano makubwa sana katika nyanja mbali-mbali.Hata huko ulaya na marekani kwa sasa Israel inaungwa mkono sana kwa nyanja zote.Hata Uturuki na nchi zingine wana mahusiano mazuri tatizo lako ni MAHABA yako kwa waarabu ndiyo yanakuponza mpaka umekosa mwelekeo umebaki kuwayawaya.Shambulio la madina najua limekuacha hoi na leo Waislamu mmefungua tutarajie mtaripuana ninyi kwa ninyi maana nyinyi wenyewe hampendani kila mmoja anamwambia mwenzake kafiri jirekebisheni.
 
Wazir mkuu wa israel benjamen netanyahu anafanya ziara Afrika.

Ziara hili anadai ni.kuimarisha uhusiano na bara la Africa.

Lakini duru za chinichini zinadai amekuja baada ya kuona israel imepoteza ushawishi katika nchi za ulaya na marekani.

hivyo bhas anatafutwa uungwaji mkono kutoka Afrika.

Lakini huyu ndo netanyahu yuleyule muuaji wa Wapalestina.

Adui wa waafrika anayechukia ngozi.nyeusi na pia mbaguzi.

[[[Aliyetoa speech kwamba waafrika wanajua ngono tu, kuzaa tu, hawafikirii.maendeleo,]]]
Kiongozi huyu atakumbukwa kwa jinsi alivyohutubia bunge la Israel Knesset kuwashawishi kupitisha sheria ya kuwafunga vizazi au kuwachoma sindano za sumu waafrika wote waishio israel bila huruma.

Je, kiongozi mbaguzi kama huyu kuna haja gani ya kujisogeza karibu naye?
Israel bado ni tegemezi haiwez kusurvive bila Marekani.

Naipongeza sana tanzania kwa kwa kutoa ushirikiano.mdogo sana kwa kiongozi huyu mpenda vita wa utawala hatari wa Israel.

Tena kusingekua na haja ya kumtuma hata waziri nchi zote zinapaswa kuvunja uhusiano na utawala huu haramu unaokalia ardhi za palestina kwa mabavu utawala unaoua wanawake na watoto wadogo wasio na hatia huko Gaza.
***
acha unafiki na uongo!
 
Wazir mkuu wa israel benjamen netanyahu anafanya ziara Afrika.

Ziara hili anadai ni.kuimarisha uhusiano na bara la Africa.

Lakini duru za chinichini zinadai amekuja baada ya kuona israel imepoteza ushawishi katika nchi za ulaya na marekani.

hivyo bhas anatafutwa uungwaji mkono kutoka Afrika.

Lakini huyu ndo netanyahu yuleyule muuaji wa Wapalestina.

Adui wa waafrika anayechukia ngozi.nyeusi na pia mbaguzi.

Aliyetoa speech kwamba waafrika wanajua ngono tu, kuzaa tu, hawafikirii.maendeleo,
Kiongozi huyu atakumbukwa kwa jinsi alivyohutubia bunge la Israel Knesset kuwashawishi kupitisha sheria ya kuwafunga vizazi au kuwachoma sindano za sumu waafrika wote waishio israel bila huruma.

Je, kiongozi mbaguzi kama huyu kuna haja gani ya kujisogeza karibu naye?
Israel bado ni tegemezi haiwez kusurvive bila Marekani.

Naipongeza sana tanzania kwa kwa kutoa ushirikiano.mdogo sana kwa kiongozi huyu mpenda vita wa utawala hatari wa Israel.

Tena kusingekua na haja ya kumtuma hata waziri nchi zote zinapaswa kuvunja uhusiano na utawala huu haramu unaokalia ardhi za palestina kwa mabavu utawala unaoua wanawake na watoto wadogo wasio na hatia huko Gaza.
Hivi umewahi kusoma diplomasia hata kodogo? Anachofanya Netanyahu in jambo la kawaida kabisa kwa mataifa makubwa. Inawezekana akawa ameitukana Africa lakini mambo hubadilika na anajutia na anaanza upya. Hakuna adui wa kudumu wala rafiki Wa kudumu kwenye siasa. Kwa taarifa yako Rais Magufuli anataka kuanzisha ubalozi wa Israel nchini, hats kama hakwenda Nairobi kukutana na Netanyahu.
 
Propaganda mfu dhidi ya ISRAEL, speech ambayo "inaenezwa" kuwa ni ya NETANYAHU ni uongo, ukweli ni kwamba ni speech ya P.W BOTHA....

Sasa wenye chuki na Israel husema ni speech ya NETANYAHU na Sisi ambao tunajiita GREAT THINKERS tunaingia kichwa kichwa kujadili kischokuwepo
 
hahaAa magreat thinker wachache weng mashabiki
 
Kwani uongo kama nyie weusi akili zenu haziwazi maendeleo?! Bali zinawaza kuzaana tu pamoja na ngono zembe? Waafrika mngekuwa mnawaza maendeleo Leo hii bara hili lingekuwa na maendeleo makubwa sana kutokana na resources zilizopo
kuwaza maendeleo kama gadafi au nkurumah?!
 
Back
Top Bottom