Kwahiyo unataka tuseme Mungu hayupo kwa sababu pepo haipo hapa duniani? Au kwamba Mungu angekuwepo pepo ingekuwepo hapahapa duniani?Jitahidi kusoma na kuelewa
Sasa nimejibu na wewe huoni kingine zaidi malalamiko unataka nifanye vipi ili uone nimejibu.!
Au ulitaka nikuambie maji yakauke aridhini yawepo angani ili papa na nyangumi tuwaone live bila chenga, fisi simba kwa jamii yao wasiwepo maana wanatumalizia kitoweo,wazungu nao watoweke maana ni wakorofi_hapo ndio ningetosheleza kiu yako.?
Sasa kama hakuna pepo, huyo mungu wa kazi gani.?Kwahiyo unataka tuseme Mungu hayupo kwa sababu pepo haipo hapa duniani? au kwamba Mungu angekuwepo pepo ingekuwepo hapahapa duniani?
Si kwamba nataka ujibu kwa kutosheoeza kiu yangu bali hukulielewa swali langu na ndiyo maana umeenda kueleza vitu tofauti na swali lililoulizwa.
Unaona sasa ndio maana nikasema ulichoeleza mwanzo ni malalamiko hukuelewa swali langu,sikuwa nazungumzia faida ya kuamini Mungu bali uwepo wa Mungu.Sasa kama hakuna pepo, huyo mungu wa kazi gani.?
Hana umuhimu ni sawa na mfu tu hana hisia.. ! Wakazi gani sasa.?
Na wewe umeelewa nilichokujibu.? Namaanisha kama hamna pepo sasa, na sio ahadi ya pepoUnaona sasa ndio maana nikasema ulichoeleza mwanzo ni malalamiko hukuelewa swali langu,sikuwa nazungumzia faida ya kuamini Mungu bali uwepo wa Mungu.
Hiyo pepo(kitu ambacho hatukijui tunakisikia tu) ingekuwepo hapa duniani ndiyo ingekuwaje? maana kama hii dunia pamoja na vilivyomo,kwako wewe bado unaona Mungu si lolote,je kungekuwa na tofauti ipi kama hiyo pepo nayo ingekuwepo duniani kama vilivyokuwepo vitu vyengine duniani?Na wewe umeelewa nilichokujibu.? Namaanisha kama hamna pepo sasa, na sio ahadi ya pepo
Mungu anakuwa si lolote na ndivyo alivyo.. sawa
Tofauti zipo wewe..!Hiyo pepo(kitu ambacho hatukijui tunakisikia tu) ingekuwepo hapa duniani ndiyo ingekuwaje? maana kama hii dunia pamoja na vilivyomo,kwako wewe bado unaona Mungu si lolote,je kungekuwa na tofauti ipi kama hiyo pepo nayo ingekuwepo duniani kama vilivyokuwepo vitu vyengine duniani?
Suala sio sifa za pepo bali pepo kuwepo duniani na sio ahadi ya pepo,wewe unaona kuwa Mungu anakuwa si chochote kama hakuna pepo hapa duniani. Sasa Mufti atakuja kueleza faida za pepo lakini ile ya ahadi na wewe unataka pepo kuwepo hapa duniani.Tofauti zipo wewe..!
Ngoja nimtagi mufti ili atupe sifa za pepo utajua kwanini nasisitiza pepo Jurjani
Yaani unamtag huyu sheikh Mazinge atupe sifa za pepo? Zaidi ya kunukuu maneno ya muddy?Tofauti zipo wewe..!
Ngoja nimtagi mufti ili atupe sifa za pepo utajua kwanini nasisitiza pepo Jurjani
Labda ndio walioleta Covid 19.Jaman aliens vp awajaiona covid au ndo wametususa walete dawa sasa
1.618welcome tesla