Huwezi kuthibitisha mpaka unakufaHauko "serious" nikajua utakuwa unajua sababu ya kukana kwako, naona unarudia rudia kukosea.
Sijawahi kushindwa kuthibitisha uwepo wa Mola muumba, na sitoshindwa kufanya hivyo, ila wewe na wakubwa zako hamjawahi kuthibitisha ya kuwa Mola hayupo wala hamtoweza kufanya hivyo, zaidi ya kucheza na maneno bila kuzingatia maana na uhalisia.
Ukija na sababu ya umejuaje kwamba Mola hayupo, na ukija na ithibati ya kuwa Mola kafa. Unistue nikuwekee ushahidi wa kuwa Mola yupo.
Nyinyi inabidi tuwafundishe namna ya kufikiri kwa usahihi, unaposema Mola wetu kafa,ina maana alikuwepo, swali la msingi ni kuwa umejuaje kafa na kipi kilifanya akafa ?
Dondoo ya uwepo wa Mola tunaipata katika vifuatavyo :
1. Self-Evident Truth (Bayyinah)
2. Contingent Facts
Na nyingine nyingi. Nimekuwekea dondoo tu kukuonyesha ya kuwa suala la mimi kuthibitisha ya kuwa Mola yupo ni suala la dakika chache sana.
Nacheka sana. Muwe mmejipanga mkiwa mnataka kujadiliana mambo ya kielimu, siyo mnaleta utoto na kazi hamuiwezi.Huwezi kuthibitisha mpaka unakufa
Na mimi sipo hapa kutafuta uthibitisho, sina muda huo na nafahamu huwezi, hata ukimfufua yule kiongozi wenu aliwarithisha amani yenu hawezi
Ni heri useme hujui hii kidogo itasaidia kuliko kuongea kana kwamba una uhakika wakati ni jambo la kiimani..!
Ila kwa kufikiri kwa njia ya kuwaonea huruma watu wa dini tunaweza sema mungu yawezekana alikuwepo ila Kafa, au kidogo yawezekana kasafiri maeneo ya mbali na hajishughulishi na mambo ya wanadamu_hapo kidogo inakuwa safi
Kazi gani uliyomaliza.!? Iyo ya kushindwa kuthibitisha mungu yupo au ipi.?Nacheka sana. Muwe mmejipanga mkiwa mnataka kujadiliana mambo ya kielimu, siyo mnaleta utoto na kazi hamuiwezi.
Kazi yangu nimemaliza.
Ahsante sana.
Hiyo hiyo.Kazi gani uliyomaliza.!? Iyo ya kushindwa kuthibitisha mungu yupo au ipi.?
Kwanini unasema hivyo kwamba Mungu yawezekana alikuwepo na kwanini isiwe yawezekana yupo?Huwezi kuthibitisha mpaka unakufa
Na mimi sipo hapa kutafuta uthibitisho, sina muda huo na nafahamu huwezi, hata ukimfufua yule kiongozi wenu aliwarithisha amani yenu hawezi
Ni heri useme hujui hii kidogo itasaidia kuliko kuongea kana kwamba una uhakika wakati ni jambo la kiimani..!
Ila kwa kufikiri kwa njia ya kuwaonea huruma watu wa dini tunaweza sema mungu yawezekana alikuwepo ila Kafa, au kidogo yawezekana kasafiri maeneo ya mbali na hajishughulishi na mambo ya wanadamu_hapo kidogo inakuwa safi
Halafu hapo hapo anashindwa kuthibitisha, sasa kujadiliana na mtu kama huyu ni kupoteza muda, na kwanini wanaishi kwa dhana, na kuzifanya dhana zao ndiyo ziwe "Facts". ?Kwanini unasema hivyo kwamba Mungu yawezekana alikuwepo na kwanini isiwe yawezekana yupo?
Hadhari: wazo hilo nimelitoa baada ya kuwaonea huruma watu wa diniKwanini unasema hivyo kwamba Mungu yawezekana alikuwepo na kwanini isiwe yawezekana yupo?
Wenzako wanasali insha huko nawasikia, nenda kasali kwanza labda ukitoka huko tutaelewanaHalafu hapo hapo anashindwa kuthibitisha, sasa kujadiliana na mtu kama huyu ni kupoteza muda, na kwanini wanaishi kwa dhana, na kuzifanya dhana zao ndiyo ziwe "Facts". ?
Ndio kuna kitu kinajiumba chenyewe kama vile Mungu,na mifumo ya kifedha(hii ime evolve haina mwanzilishi)Bila shaka kabisa, sababu hutakiwi kubahatisha katika elimu. Kielimu ulitakiwa upate uhakika kwanza kisha ueneze habari hizo.
Huwezi kuwa pande zote katika jambo lenye ulazima wa kuwa upande mmoja, huko kuitumia vibaya akili. Bila shaka umenielewa.
Usahihi ulitakiwa uendelee kufanya utafiti mpaka utakapo pata jibu lisilo shaka, na unachokifanya ni aina ya sanaa.
Sasa unatakiwa ukae kimya mpaka utakapo ujua ukweli, ndiyo uondoke nao huo ukweli.
Msaada wangu unaanzia katika kukuonyesha vipi unatakiwa ufikiri kwa usahihi, nakusaidia kwa kukuuliza maswali yafuatayo :
1. Je kuna kitu ambacho kinaweza kujiumba chenyewe kabla ya kuwepo kwake ?
2. Je kuna kitu kinaweza kuwepo pasi na chochote ?
Nimekuelewa na ndio swali langu nilitaka kujua msingi wa hizo dhana?Hadhari: wazo hilo nimelitoa baada ya kuwaonea huruma watu wa dini
Na nimetoa mapendekezo mawili kama umenisoma, kwamba yawezekana alikuwepo ila kafa au yupo ila kasafiri sehemu za mbali na hajishughulishi na wanadamu
Hii ni dhana isiyo na uhalisia ni vile tu nionavyo mimi kwa mtazamo wangu na haibadili uhalisia
Labda tujaribu kujadiri hizo dhana na si vingine
Ila mkuu hauoni kuwa lazima kiwepo kisicho na mwanzo ili ndio kiwe chanzo cha kupatikana mwanzo wa vitu?Ndio kuna kitu kinajiumba chenyewe kama vile Mungu,na mifumo ya kifedha(hii ime evolve haina mwanzilishi)
Kwa upande wa hapana, hakuna kinachoweza kujiumba,tunarudi kuwa kila kitu kina mwanzo, na kama ni hivyo basi inakuwa ngumu kusema Mungu hana Mwanzo/Kajiumba/Katokea
Swali la pili sijalielewa.
Hii njia unayotumia ni ndefu ungenisaidia mkuu.Huenda ni wakati wangu wa kujua kwa kuwa nimekutana na mtu mwenye UHAKIKA.
Tatizo unatu "dogosha" na kutushambulia zaidi kuliko kutupa hiyo elimu.
Au naweza kusema hautaki tujue ila tuogope tu na kumfata Mungu blindly,kitu ambacho nadhani hata yeye huenda asikipende
Nimerudi, nipe habari sasa.Wenzako wanasali insha huko nawasikia, nenda kasali kwanza labda ukitoka huko tutaelewana
Thibitisha hili.Ndio kuna kitu kinajiumba chenyewe kama vile Mungu,na mifumo ya kifedha(hii ime evolve haina mwanzilishi)
Siyo kweli kwamba kila kitu kina mwanzo.Kwa upande wa hapana, hakuna kinachoweza kujiumba,tunarudi kuwa kila kitu kina mwanzo, na kama ni hivyo basi inakuwa ngumu kusema Mungu hana Mwanzo/Kajiumba/Katokea
Nani amekwambia mwanzo ndiyo kujiumba au ndiyo katokea, unaposema ametokea inabidi utuambie hapo kabla alikuwa wapi ?Mwanzo/Kajiumba/Katokea
Swali la pili, namaanisha "create a thing from nothing" (utaniweka sawa hapo kwenye kiingereza).Swali la pili sijalielewa.
Mara nyingi njia ndefu huwa ina uhakika na yenye kudumu, na elimu inapatikana kwa muda mrefu siyo ghafla tu, kwahiyo kuwa nasubira.Hii njia unayotumia ni ndefu ungenisaidia mkuu.Huenda ni wakati wangu wa kujua kwa kuwa nimekutana na mtu mwenye UHAKIKA.
Lazima niwadogoshe sababu huwa mnajiona nyinyi ndiyo mnafikiria sana kuliko wengine, jambo ambalo halikuwahi kuwa kweli,hakuna wanao fikiria mambo kwa undani na uhalisia kama watu wa imani ya dini, tena ile dini ya mitume na manabii wote.Tatizo unatu "dogosha" na kutushambulia zaidi kuliko kutupa hiyo elimu
Kuhoji ni jambo jema sana ila kuhoji ujinga ni kosa kubwa sana.Au naweza kusema hautaki tujue ila tuogope tu na kumfata Mungu blindly,kitu ambacho nadhani hata yeye huenda asikipende
Siyo kila jambo lina hali wezekano, kuna mambo hayana kinyume chake, hasa chanzo na muumbaji, ndiyo maana kulazimisha "possibility" iwepo sehemu ambayo haipo ni kupoteza muda kujidanganya tu, achilia mbali hizo "possibility" unashindwa kuziwekea ushahidi, ni ishara mbaya sana kwa mtu aliyepewa akili.Sasa Jurjani unataka nichague upande au nikae kimya😃😃.Mimi nimeongelea possibility ya kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu na nikaonyesha kuwa jibu la dhati kabisa ni sijui.Sasa utachaguaje upande katika jambo usilolijua, hiyo ni kwenda kiupofu upofu.
Zinawezekana vipi kuwa msingi.!?Nimekuelewa na ndio swali langu nilitaka kujua msingi wa hizo dhana?
Kwahiyo dhana yako kwamba pengine Mungu itakuwa alikufa au amesafiri imetokana na hatua ya uchunguzi ila hujafikia hatua ya uhakika?Zinawezekana vipi kuwa msingi.!?
Msingi wa kitu hujengwa na uhakiki wa jambo ikiwa na maana uthibitisho hauwezi kukwepeka hapo ndio unaweza kusema jambo hili ni lamsingi au lina msingi maana linamatokeo ya uhakika
Na hiyo ni hatua ya mwanzo kwenye fani ya kisayansi ambapo dhana,uchunguzi,uhakiki na matokeo havikwepeki
Mimi kusema mungu kafa ni dhana iliyo kwenye hatua tuseme ya pili ya uchunguzi ila sijafikia ya tatu ambayo ni uhakiki
Kuniuliza msingi wa dhana inakuwa kauli yako bado haijakaa sawa ikiwa kitu chenye bado kinachunguzika
Dhana ni kutunga mawazo katika mtoririko wa kimantiki tunaweza sema kuunga doti kisha kuyafanyia kazi mawazo kwa matokeo
Lakini ni vibaya kuyapa uhalisia kama haujahakiki na wengi ndipo wanapokwama
Sina uhakika ndio maana nadhani kafa au kasafiri ningekuwa na uhakika ningetoa tamko moja tuKwahiyo dhana yako kwamba pengine Mungu itakuwa alikufa au amesafiri imetokana na hatua ya uchunguzi ila hujafikia hatua ya uhakika?