Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens


TEH! TEH! WEWE UNA KIRANGA TU NDUGU, NENDA KATAFUTE QUR AN AU BIBLE NA MWALIMU AKUFUNZE KWA UMAKINI SANA UTAACHA KUAMINI HUU UJINGA
 
Makanisa ndo yanaongoza kumiliki ardhi kubwa hapa duniani ilhali kuna watu ni homeless wengine wanakufa kwa njaa. Alafu kila siku wanasema mumtolee Mungu sadaka
Wachache wanaishi kwa kupitia migongo ya watu.
....
Mkuu...umiliki ule wa ardhi ni assert tosha kwa matumizi ya kuanzisha tasisi mbalimbali zinazomilikiwa na kanisa katoriki au makanisa mengine.

Huko ulaya maaneo mengi ambayo zimejengwa taasisi za kanisa ndo yale maeneo yaliyokuwa reserve yakimilikiwa na makanisa...sema kadri muda unavyozidi kwenda watu wanagundua kuwa kanisa ni ulaji na unyonyaji wa pesa tu ,hakuna kitu pale ndo mana wazungu wameacha kusali..ila jamaa wamejikuta wamelipa kanisa katoroki mtaji mkubwa wa pesa...zimebaki nchi za Africa hizi ambazo watu bado wanajifanya kuchambua bible ambayo mpaka leo watu bado wanakosa majibu ..

Wale jamaaa wana long plan aise...

Wanajua kupitia dini hizi wata collect mpunga wa maaana na watu wakishajua kuwa Dini ni ujinga, wao tayari watakuwa washapata mitaji ya maana kisha kuinvest kwenye taasisi kama elimu ,afya n.k...

Ndo maana maeneo mengi ya kanisa sasa hivi zinajengwa taasisi nyingi za elimu,hospital ambazo ni zao la sadaka toka kwa wauumini ..

Falsafa yao kuielewa ni mpaka ujitoe ufahamu ndo utajua mission behind hasa katika haya mambo ya kusali kanisani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…