...ukiulizwa ni vipi Mungu mwenye uwezo wote ,na upendo wote ni kwanini aliumba Ulimwengu kwenye mapungufu hivi...na akamuumba Shetani mpinzani wake utajibu mini.Sawa nimekuelewa.
Katika uzi wako nimeona kuwa sababu kuu ya wao kuumba binadamu ni kutaka binadamu kuwasaidi kukusanya madini ambayo hao wamekuwa wakitumia akili zaidi kutafuta namna ya kuyarejesha madini hayo.
Sasa nauliza.
1.Licha ya akili nyingi walizonazo na tekinolojia yote walishindwa wao kurejesha madini hayo pasina kumuhusisha binadamu ambaye anayatumia madini yao kwa matumizi yake binafsi?
2.Kwanini tekinolojia hiyo haikuanza kwa binadamu wa kwanza ambaye walimuumba na hatimaye kuanza miaka mingi baadaye?
3.Sasa kama binadamu walimuumba awasaidie kukusanya madini yao na wao ndiyo wanamuongoza binadamu iweje wampe akili za kuyatumia madini hayo ambayo hata wao inaonekana wanayaitaji zaidi?
4.Kwanini hawakuumba binadamu kwa wakati mmoja tena kwa idadi waitakayo ili wafanikishe adhima yao ya kukusanya madini kwa muda mfupi yaani wafanye kazi kwa pamoja?
Naomba tusaidiane kueleweshana.
Sent using Jamii Forums mobile app
katika mada hii mimi nipo pamoja na ninyi. sio kwamba naunga mkono simulizi za kwenye bible, la hasha.Kwa kauli kama hizi za Mungu wenu ndio zinadhihirisha kabisa kuwa miungu yenu ni ma_allien
Vitabu vyenu mnavyo jitoa mhanga navyo vimejaa simulizi kibao za alien alafu bado mtu anashangaa
Na ivi ni nani aliwadanganya wanyama wanashobo ya kutawaliwa.!?
Ukienda mbugani unakuta wametulia wanajilea vyao hawana hata mpango nanyi na maisha yanaenda
Nyie kwa viandiko vichache tayari mnajipa utukufu msio uhustahili na kujiona mna haki juu yao.!? Poleni
Sent using Jamii Forums mobile app
..ukiulizwa huyo Mungu aliumbwa na nani utajibuje mkuuSwali la msingi ambalo naona unakwepa kulijibu ni kuwa hao viumbe wengine waliwekwa na nan?!
Na yeye Mungu aliumbwa na nani na kwa kusudi gani mkuu ?Mimi binafsi namwamini Mungu kuwa alituumba hapa duniani kwa kusudi lake.
..putuuuuuuuuuBiblia imeweka wazi kuwa Mungu aliniumba ni ishi duniani nikimtumikia yeye na kutawala viumbe alivyoviumba
Mungu /Allah umewahi kumuona..?...mbona anajengewa mpaka majengo plus kutengewa muda/siku ya kumuombaMjadala wa kijinga sana,unaongelea vitu ambavyo ujawai kuviona zaidi kwenye sinema,umbeya na udaku vina nafasi kubwa sana kwa watanzania
wew si unajibu lako ambalo ni mungu ndo kaweka viumbe hao...
Kwa sababu hata ukielezwa how evolution ya universe ilivyokuja utakataa kwa sababu unaamini neno Mungu kama supreme being wa vitu vyote..
Sijakataaa kuwa hakuna controller wa mambo yotr but umesoma kuhusu doctrine zinazoelezea how different races came to arise..??
umesoma kuhusu how the universe arose..?? au umekalili tu kuna mtu alikuwa anakomand hiki njoo hiki rudi..
Naomba nikulize kitu..
hivi hapo mwanzoni mungu alikuwa anakaa na akina nani wakati tunaona kuwa umri wa binadamu kwenye universe hiii ,humans only evolved about 200,000 miaka iliyopita ...
lakini umri wa universe ni miaka Bilion 13.9 ,hivi huoni kuwa huyo mungu alikuwa anakaa na kina nani kabla ya kumleta binadamu ...?? yani kwamba alikuwa ana species za kina Dinassaors pekee..?
Ukiongelea universe unaongelea na vipimo ambavyo navyo vimeetengenezwa na binadamu hakuna mwenye kuthibitisha zaidi tunakadiria tu hiyo miaka,
Lakini Mungu amenza kuabudiwa na jamii zote kabla hata ya kuwapo vitabu na watu walifanya ibada za kweli kwa kutoa sadaka eneo maalumu,ujinga wa kusoma ulipoletwa ndio Bible na Quran vikabadil uwezo na uelewa
Unachojarib kukisimamia hapa mimi nimekisoma sana na bado nazid kukisoma ila hakijaniingia akili kama unavyotaka ww iwe
Ningekujibu swali lako ila nadhani tujikite zaidi kwenye hii mada yako ambayo unaitetea kwa hoja nyepesi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali yako ya msingi sana ila unapata majibu mepesi sanaKipimo kilichopima umri wa universe kina miaka mingapi??
Hii mada ipo nje ya maandiko hivyo tusichanganye mambo tofauti na lengo la mtoa mada ambae naamini hajaingilia mhimili wa imani ya mtu ila watu wengi wameuliza sna swali lako katika mabandiko ya kidini na hakuna alietoa jibu hivyo basi ukisoma sana utajikuta unajiuliza hao viumbe nani kawaumba na je mungu nani kamuumba?! Hivyo nadhni tujikite kwenye mada zaidi
Mkuu kuna kitabu chochote unakijua kinahusu Hawaii viumbemkuu,usiumize akili snaa juu ya kujiuliz uwepo wa associated factor living kama majani..
hivi unaweza anzisha ufugaji wa kuku bila kuwa na uwepo wa banda na pumba kwa ajili ya kulishia kuku hao..?
Unaweza ukalima hekali 20 za mazao bila kuangalia wanunuzi kwanza??
kwa hiyo swala la mimea kuwepo ni kwa ajili y kumbust huyo alieletwa ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kitabu cha mwanzo chote kimeeleza hiki kitu vizur sana Mungu hakuwa peke yake wakati anaumbakatika mada hii mimi nipo pamoja na ninyi. sio kwamba naunga mkono simulizi za kwenye bible, la hasha.
kwa mfano huwa najiuliza kwanini andiko liseme na "tumfanye mtu kwa mfano wetu.." dadala ya nimfanye mtu kwa mfano wangu.
kumbuka bible huwa inatufundisha kuwa Mungu ni mmoja tu, sasa huo uwingi unatoka wapi?.
hapo ndio tafakuri kuhusu aliens inapochukua nafasi.
Ila unajua inaukomo wa umbali wakati inahakiki mwendo wako?!kwa hiyo zile tochi za barabarani zina imagina speed ya gari..??
mbona hakuna mtu aliwahi kwenda mahakamani kupinga juu ya speed aliyokuwa akiendesha baada ya kunoticiwa alikuwa katika high speed..??
kwa sababu mode of kculation ni kuhusiana na hizo background wave machine inazotoa ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Chochote imaginable can be present and observedHivi hao Alien [emoji89] kuna mtu aliwahi kuwashuhudia au ni Imagination?
nimemwambia achukue karamu tumwonyeshe hiyo miaka hataki...Maswali yako ya msingi sana ila unapata majibu mepesi sana
kupitia hidden doctrine nimepata kujua kias flani hawa viumbe mkuu..
Alikuwa na nani?Soma kitabu cha mwanzo chote kimeeleza hiki kitu vizur sana Mungu hakuwa peke yake wakati anaumba
Serikali wamekuwa programmed Ku pave ways Kwa ajili ya Hawaii viumbe,kupitia hidden doctrine nimepata kujua kias flani hawa viumbe mkuu..
pia kuna mazingira ambayo binafsi niliyashuhudia ...
Mpaka ukutane na paranormal events za hao viumbe ndo unaweza pata muda na apetite ya kutafuta siri zao...
serikali zote zinaficha uwepo wa hao viumbe .
Sent using Jamii Forums mobile app