Prompt salary payment serikalini ni hisani?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,466
512
Najiuliza accountability imepotelea wapi, inakuwaje kwa miezi kadhaa sasa serikali imekuwa ikichelewa bila maelezo ya kina na ya wazi. mara utasikia epicol mara bla bla mbona mnanyanyasa watu wanaotegemea salary kama nyie mna rushwa na posho si wenzenu tuna mshahara pekee. Wekeni watu wenye uwezo na mambo yakiwa magumu toeni taarifa msifanye watu kama vifaranga vya kuku kuwaza watanyonya labda kesho. Poleni watumishi wa umma naona mmegeuzwa jamvi la wageni
 
Poleni,jwtz na wizara ya ulinzi wamepewa mapema tarehe 20,sisi wengine haijulikani,shame on ccm and its gvt
 
Naona fedha zaelekezwa sehemu nyingine na kwa bahati mbaya wanachelewa kuzirudisha.
 
Hali hii ilishasemwa na Zitto Kabwe ili kujikosha wakawa wanatulipa tarehe 25 kwa muda wa miezi minne sasa hivi wako hhoi bin taaban tunalipwa kati ya tarehe 36 na 38!
 
Usipowapa wafanyakazi wako mshahara kwa ratiba, kutegemea wafanye kazi kwa ufanisi kabisa si sawa.
 
wilaya zingine kama yetu (Rungwe) tumeambiwa akaunti zimekosewa so watumishi wakarekebishe. Utumbo mtupu wa serikali chini ya CCM
 
Hali hii ilishasemwa na Zitto Kabwe ili kujikosha wakawa wanatulipa tarehe 25 kwa muda wa miezi minne sasa hivi wako hhoi bin taaban tunalipwa kati ya tarehe 36 na 38!

hapo penye ublue ndo pananichekesha ile mbaya
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom