Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,573
Kwenye kila baraka kuna laanaTujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama,
1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel (mwanzoni ikiwa Eliona Kimaro TV baadae KKKT Usharika wa Kijtonyama),
2. Jengo jipya la Sunday School (lililogharimu yapata 100m TZS)
3. Ununuzi wa Kiwanja pembezoni mwa kanisa yapata 300m TZS
4. Kusomesha yatima yapata 100
Kwenye kila baraka kuna laana
Kila penye mafanikio pana mapungufu
Kufanya mambo fulani hakukufanyi kuwa mkubwa kuliko taasisi
Wamemuona ni threatTujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama,
1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel (mwanzoni ikiwa Eliona Kimaro TV baadae KKKT Usharika wa Kijtonyama),
2. Jengo jipya la Sunday School (lililogharimu yapata 100m TZS)
3. Ununuzi wa Kiwanja pembezoni mwa kanisa yapata 300m TZS
4. Kusomesha yatima yapata 100
Kwenye hizi taasisi kuna namna huwa uongozi wa juu hawataki wa chini afanye makubwa yanahoonekana sana? Kisa cha likizo ya siku60 ni nnKwenye kila baraka kuna laana
Kila penye mafanikio pana mapungufu
Kufanya mambo fulani hakukufanyi kuwa mkubwa kuliko taasisi
Tena chuki kubwa mnoo hapo wameshatafuta namna ya kumwangusha na hatokaa apate upenyo wa kuyafanya yale aliyoyafanya kijitonyama....labda aanzishe mwendo kivyake na si chini ya taasisi tenaukitenda mazuri kwa wanadamu chukizo kwa
wanadamu tena
Hilo ndio swali ambalo linawashangaza wengi, na tena anaambiwa akaripoti Mkao Makuu tayari kwenda usharika mwingine. Hii move Dkt alipaswa kuishtukia mapema. Kwenye hizi taasisi inabd kuwa na washauri wanaokuambia ukweli ili ujizatiti kabla ya kupewa likizo ya siku 60 (ambazo hukuziomba).Kwenye hizi taasisi kuna namna huwa uongozi wa juu hawataki wa chini afanye makubwa yanahoonekana sana? Kisa cha likizo ya siku60 ni nn
Mhimili Usioonekana Tayari Umeingia Hapo Ile Video Umeiona Na KuisikiaKwenye hizi taasisi kuna namna huwa uongozi wa juu hawataki wa chini afanye makubwa yanahoonekana sana? Kisa cha likizo ya siku60 ni nn
Inawezekana, pia nataarifiwa Kariakoo pia alishawahi kufanyiwa figisu, hata majuzi aliambiwa Youtube Channel isiwe kwa jina lake akatii. Leo tena ndo vile.Tena chuki kubwa mnoo hapo wameshatafuta namna ya kumwangusha na hatokaa apate upenyo wa kuyafanya yale aliyoyafanya kijitonyama....labda aanzishe mwendo kivyake na si chini ya taasisi tena
Kumbuka Baraza la wazee ndio lenye kubeba yote, kazi zote hizo ulizotaja bila Baraza la wazee mchungaji hawezi hata iwejeTujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama,
1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel (mwanzoni ikiwa Eliona Kimaro TV baadae KKKT Usharika wa Kijtonyama) inayowafikia watu wote Duniani.
2. Jengo jipya la Sunday School (lililogharimu yapata takribani 200m TZS)
3. Ununuzi wa Kiwanja pembezoni mwa kanisa yapata 300m TZS
4. Kusomesha yatima yapata 100
5. World Pray Online (WPO), Call Centre ya maombi masaa 24, siku 7 za wiki.
Kila usharika KKKT una baraza la wazee, sharika ngapi zimefanya hayo yote? Nenda Usharika wa Sinza, hiyo Youtube Channel ikiwa live viewers wakizidi sana 15 na bado wanapambana na Deni mpaka kesho, Mwenge hali kadhalika.Kumbuka Baraza la wazee ndio lenye kubeba yote, kazi zote hizo ulizotaja bila Baraza la wazee mchungaji hawezi hata iweje
Sahihi Sana Hilo ,alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu wakatoliki na waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vzr so wat aende uko sasaKwenye kila baraka kuna laana
Kila penye mafanikio pana mapungufu
Kufanya mambo fulani hakukufanyi kuwa mkubwa kuliko taasisi
Hatujui kwa hakika tuupe muda wakati.. Lakini unapokuwa kiongozi wa kiroho punguza kidogo ya kimwiliKwenye hizi taasisi kuna namna huwa uongozi wa juu hawataki wa chini afanye makubwa yanahoonekana sana? Kisa cha likizo ya siku60 ni nn
Hii dhana ya ukubwa kuliko taasisi kwani kanisa ni mali ya mtu,au genge la watu?. Kanisa sio jengo, ni mwili wa Kristo ambapo watu wenye imani juu Kristo wanaamua ku team up na kumtafuta Mungu hata kwa kupapasa wakamwone sasa kuwa na kiongozi mwenye kuonyesha njia imekuwa nogwa?. Mwenye kanisa ni Mungu, mwenye roho za watu ni Mungu.Kwenye kila baraka kuna laana
Kila penye mafanikio pana mapungufu
Kufanya mambo fulani hakukufanyi kuwa mkubwa kuliko taasisi
Hizi taasisi zina mambo ya ajabu sana hwataki mch kama yule afanye makubwa ya kuonekana na akakubalika sana kuliko jina la taasisi yenyeweInawezekana, pia nataarifiwa Kariakoo pia alishawahi kufanyiwa figisu, hata majuzi aliambiwa Youtube Channel isiwe kwa jina lake akatii. Leo tena ndo vile.
Nimekufuatilia sana nikagundua wewe mfia kkkt na haukubaliani ma mabadiliko ya kiroho.Kwenye kila baraka kuna laana
Kila penye mafanikio pana mapungufu
Kufanya mambo fulani hakukufanyi kuwa mkubwa kuliko taasisi
Ni unabii umetimia.. Kila litokalo mdomoni ni zao la rohoni... Amejitambulisha uhalisia wakeSahihi Sana Hilo ,alijisahau Sana Hadi kuanza kuwasifu wakatoliki na waisalmu hadharani eti ,roma Catholic wako vzr so wat aende uko sasa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app