Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,290
- 5,769
Nahitaji kununua projector kwa ajili ya kufundishia watu kama 150 hivi
Iwe inatoa picha/Michoro mikubwa na ya rangi
maandishi makubwa yanayosomeka
Display yake iwe kubwa kwa kuwa watu tarajiwa ni wengi
Naomba mwenye uzoefu na projector anipe specification ili nianze mchakato wa kuitafuta
asanteni