Wakuu ninahitaji projector haraka sana. Mwenye nayo please anijuze na bei tufike muafaka. Pia kama kuna projector zakukodi naombeni msaada wa kujuzwa ni wapi na sh ngapi. Aksanteni sana!

Mzigo nimetuma kutoka huku U.K(London) now unapatikana dar,shop no 14,msimbazi street opposite to Bigbonstation.
PROJECTORS:
Mitsubishi
Nec
Hp
sanyo
Focus
Epson