Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Tunahitaji mwenye uwezo wa kuandika proposal kwa ajili ya kuomba funds kwa donors tofauti.
Mhusika atakuwa volunteer na tuta sign naye mkataba kama volunteer proposal ikikubalika atakuwa one of the incharge wa project hiyo endapo atakuwa na uwezo huo wa kusimamia vinginevyo atakuwa project officer, NGO ni registered under NGO act, kazi zake ni kuwasaidia watanzania wakulima kuondokana na umaskini, kuwafundisha entrepreneurs tanzania nzima, kufanya miradi ya tafiti ili kubaini matatizo yanayo wakabili watanzania wasio weza kufanya biashara n.k.
Kwa maelezo zaidi Tuma private message na tutakupa contacs zote.
Kwa walio serious na wenye ujuzi wa kuandika proposal tu.