s
Wakuu, Uandishi wa proposal inahitaji ujuzi, sio mkusanyiko wa data tu kichwani mwako na kuziweka ktk karatasi....ndio maana wapo wajuzi kama sisi (sijifagilii) lakini ndo tuliamua kuspecialize uandikaji wa PROPOSALS, hivyo kwa kushirikiana na mwenye wazo la mradi, Proposal huandikwa vizuri na likakidhi vigezo vya kitaalamu, na pia likabeba wazo la mradi kutoka kwa mhusika. Kwaivo ni vema proposal ikaandikwa na wabobezi...yaani vema kuoutsource hiyo huduma...unafikiri kila mtu akifanya kila kitu, duniani kutakuwa na kazi kweli? ila ni kweli mwandishi mzuri atamshirikisha mwenye mradi ili kufanya andiko bora...tena linatokana na participatory study. Ndugu mhitaji, mtoa uzi huu..nitafute tuandike hiyo proposal, usiogobe bei, inaonekana una idea ya uandishi, so itakucost kidogo......Karibu.