Project partner au mwajiri karibu

Kamnyomo

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
127
Reaction score
184
Habarini...

Kuna kijana mzoefu na mchapakazi sana mwenye ujuzi wa kilimo cha kisasa cha mazao ya mbogamboga pamoja uzoefu wa kutosha katika ufugaji wa kuku wa kienyeji,

Anatafuta mdau mwenye shamba wafanye project au mwajiri wafanye kazi pamoja.

Yupo tayari kufika popote now yupo Kibaha.
 
Njoo pm ila awe tiari kuja tarime mara.
 
Wadau kijana bado hajapata,let's share with friends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…