Project 'OKOA HIP HOP' ililenga nini ?

hapana! Buster hakua na wala hayupo wu tang,hiyo alipost ktk moja ya page zake ktk social networks hapo alikua anaonyesha tu kuappreciate uwepo na harakati nzima za wu tang clan!!
 
RockCity Native, i like your name. ebu nipe hints kidogo kuhusu MECKO SOUTH ya mwanza, iyo crew bado wapo pamoja? na je legacy yao in Mwanza city ikoje?

-Kaveli-

sina data kamili za hawa jamaa lakini crew bado ina exist lakini baadhi yao wako dar na wako ktk familia ya TAMADUNI MUSIC mfano male marxist,biznea a.k.a kuntakinte,gheto ambasador, kadGo... Hawa jamaa kwa mwanza wanakubalika sana ni crew ambayo ilibebwa sana na EDZEN THE ROCKA time ile yupo kiss fm... Huyu jamaa ezden the rocka hata sahaulika mwanza na hata Tanzania kwa ujumla kwa kuifanya hiphop new era kushine..
 
good info, thanks for update mkuu Native. MECKO SOUTH huwa nafuatilia sana harakati zao, vijana wana vipaji. Male ana sauti fulani ivi ya kihip-hop sana, even Biznea. Kadgo ni kichwa sana katika ku-rhyme.

Poa kiongozi.

mida ya saa2 tune times fm umsikie imam Abas atakuapo na kina p the mc si unajua leo full hiphop ndani ya the jump off ya mtu mzima jabeer salehe times fm 100.5
 
Last edited by a moderator:
mida ya saa2 tune times fm umsikie imam Abas atakuapo na kina p the mc si unajua leo full hiphop ndani ya the jump off ya mtu mzima jabeer salehe times fm 100.5

yap yap, i'm aware of the jump-off, i always make follow-ups kwenye hilo bonge la pindi. Imaam Abas, kichwa kilichoitelekeza hip-hop. Huyu jamaa ni mkali sana katika hip-hop battle, hata kwa lugha ya malkia (kiingereza) anakamua battle vizuri sana
 
dah imam abass kitambo sana kumbe yupo..?!!
 
yeah Imaam mzee wa 'Mitaa Ya Kati' yupo, but he is no longer in rap career. Very talented guy katika hip-hop freestyle battling, both in English and Swahili. Tunamiss sana ladha zake ktk game
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom