Project and proposal writing.

Ujugu

Member
Jul 8, 2012
37
7
Nahitaji kusoma mambo ya kuandika proposal kwaajili ya kuomba fund yakuanzia projects.Je kwa Mwanza nnaweza kupata chuo kinachofundsha fani hiyo.
 
Mkuu nenda hapo mwanza Buhongwa kama sikosei kuna centre ya ESAMI wanatrain, wanamaprof wazuri kweli kutoka all over the wold depending na ur interest! goodluck...!
 
Back
Top Bottom