Mturuki analipwa na TZ na tunamcontrol.To what extent unamcontrol mchina.Mturuki akimaliza atalipwa chake kilichobaki na kusepa wewe mchina anabaki kuchukua Tozo.Wenzenu tulijenga kigamboni bridge kupitia NSSF yes wanakusanya tolls ilipesa ya wastaafu ibaki salama wewe mchina anasepa na Tozoπππ