Progress: Mume hanifikishi kisawasawa


una lolote kama uliziki kanunue mashine ya umeme,
 
Mhhhh! Chezeya JF weye!!! Vidume M**o mkononi duh!!!!


 
Last edited by a moderator:
nitatoa priority kwa wale walioni-pm in the first thread. Samahani kama nawakwaza baadhi ya watu kwa hizi threads zangu mbili lakini naomba mnielewe hali niliyonayo.........!

jaman bebii... unajua laptop yangu ilikolapsi kipindi kile... pliz natuma PM yangu sasa hivi, naomba anikonside...
 
Umeanza kama kipaanga ukamalizia kama kilaza
 
mmmh! jamani amini musiamini mi niliwahi kukutana na mwanamke mmoja wa jf nikakimbia mbio usijiroge hawa wote ni wahuni tu hakuna mwenye mapenzi hapa nitaka kutafuta mchumba cos ninaokutananao hawafikii vigezo vyangu nikakutana na dada mmoja akaniambia ni mwalimu ile siku ya kwanza tu kukutanae aliniambia nikutane nae bar moja hivi huko kinondoni nilionananae lakini alikuwa anapokea simu za wanaume kila mara alafu ukimwangalia sura yake imekaa kiujanjaujanja hivi haelekei hata kidogo kuwa ni mwalimu nilishtuka aliponiambia jina alilotumia jf,dah full mwizi nilikimbia mbio sikuangalia nyuma tena
 

shetani kashakutawala rudi kwa yesu upesi!!!!!
 
Huna lolote mzinzi wewe. Subiri unachokipanda utakivuna muda si mrefu.
 
Mzee wa Rula Nimependa post hii sn!

 
Last edited by a moderator:
Uwenda madada zetu wanaojiuza,wanatumia mbinu mbadala ya kuwapata wanaume. KIMBOKA siku hizi hakuna wateja.
 
Business oriented!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

risasi ya mwisho ndio yenye shabaha mama.kitu inch 7 non stop medali ya fore play, salting ndio balaaa
 
Tatizo lako ni la kisaikolojia na hii inatokana na kuanza kufanya mapenzi kabla ya kuolewa. Mwanmke/Mwanamme anayefanya tendo la ndoa kabla ya kuolewa au kuoa hatakaa afikishwe anapodhani anatakiwa kufika. Unakipimo akilini mwako ambacho kimeshawekwa na wanaume kadhaa wa kadha kwahiyo hutakaa ufikishwe. UKO KWENYE LAANA
 
...........Najua utakapoanza kufanya huo mchezo mchafu na wana-JF walioku-pm wengi wetu tutakuwa na kazi ngumu sana hapa ya kuwaelekeza hao wakware wapi wanaweza kupata tiba za gono, kaswende, pangusa n.k. Hata kama ni umalaya huo too much, kwahiyo katika hao 50 walioku-pm unataka wote ungonoke nao?. Nakushauri kabla hujafikia uamuzi huo kawaone wachungaji wajaribu kukuombea hilo pepo likutoke.
 
Nenda ukafanyiwe maombi! Maana unakoelekea ni kubaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…