Programu ya kulinda na kuendeleza hifadhi ya Selous (SECAD) inayofadhiliwa na Ujerumani yazinduliwa

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini, Bw. Egon Konchake wamezindua rasmi Programu ya kulinda na kuendeleza hifadhi ya Selous(SECAD).

Programu hii ni jitihada za pamoja za Serikali za Ujerumani na Tanzania na asasi za kiraia za kulinda Hifadhi ya wanyama ya Selous na ecosystem yake.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…