SOFTWARE Programu ya Kibaba MFS kwa ajiri ya ViCoBa na MFI's

Kibaba MFS

Member
Oct 1, 2016
14
6
Kibaba ni Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi ya Kuweka na Kukopa yaani ViCoBa, MFI na Upatu.

Ukiwa na Programu hii utahitaji Kompyuta au simu au Tableti ili uweze kuweka kumbukumbu mbalimbali za wanachama. Hii itasaidia Kikundi kuachana na utegemezi pekee wa Kadi, Vitabu vya hesabu na Excel (Spreadsheet).

Maelezo zaidi utayapata hapa au Tembelea Promo Page Hapa
Kama unataka Demo hapa
Ili kuingia kujaribu tumia viingilio hapo chini
1. Kuingia kama Administrator
username: admin
Password: 123456

2. Kuingia kama Mtumiaji wa kawaida
Username: user
Password: 123456

Vipengele kwenye Kibaba MFS (Features)
Vipengele vinavyounda Mfumo wakibaba MFS.
  • Wanachama
    Kibaba inakuwezesha kuhifadhi taarifa za wanachama wako, Taarifa bifsi za wanachama zitakazowezesha kumtambua wakati wowote.

  • Mfuko wa Jamii
    Mfumo utakuwezesha kuandikisha Mifuko mbalimbali ya Jamii, kama Bima ya Afya, Elimu na mingineyo

  • Mikopo Hisa / Jamii
    Rekodi mikopo yote ya Wanachama, pata kumbukumbu ya kuchukuliwa mkopo na Tarehe ya Kurudisha mkopo

  • Miamala ya Kifedha (Transactions)
    Tunza kumbukumbu zote za Mapato na Matumizi kupitia kipengele hiki cha Miamala, hapa utaweza kurekodi tarifa za fedha.

  • Hamisho la Fedha
    Unaweza kufanya hamisho la Fedha kutoka akaunti moja kwenda nyingine. Kama vile simu pesa kwenda Akounti yenu ya Benki

  • Matangazo
    Mfumo unawezesha wanachama kuweka nakusambaza Matangazo / Ujumbe kwenye mtandao wa Kibaba, na wanachama wote wakaona.

  • Urithi / Inheritance
    Mfumo unaruhusu kuhifadhi taarifa za Warithi wa Mwanachama, unaweza kuweka hadi warithi 5 kwenye Databezi
  • Ununuzi wa Hisa
    Tunza taarifa na kumbukumbu za ununuaji wa Hisa za wanachama wa kikundi chako. Taafizi hizi hutumika kwnye mgao wa Mapato

  • Michango Maalum
    Unaweza kuanzisha na kukusanya Pesa kwa kutumia mfuko maalum, kuchangia mambo kama msiba, sherehe na N.K

  • Marejesho ya Mkopo Hisa / Jamii
    Rekodi marejesho ya mikopo ya Wanachama, Tarehe na Kiasi. Mpaka mkopo uishapo, na mfumo kukujilisha.

  • Akaunti za Fedha
    Unaweza kufungua Akaunti za fedha na kumbukumbu zake, inaweza kuwa Sanduku, Simu au hata Akaunti ya Benki.

  • Mgao (Dividend)
    Mfumo huu utakusaidia kufanya hesabu za mgao wa pesa, hesabu hufanyika kutokana na ununuzi wa hisa.

  • Upigaji Kura
    Ukitumiamfumo wa Kibaba, kufanya maamuzi ya pamoja ni rahisi, mfumo unaruhusu wanachama kuanzisha na kupigia kura jambo fulani.

  • Kujitoa Uanachama
    Mfumo unaruhusu kujitoa kwa Mwanachama, Taarifa zake zitabaki, ila Akaunti yake itakua sufuri.
Maelezo zaidi utayapata hapa
Kama unataka Demo hapa
Ili kuingia kujaribu tumia viingilio hapo chini
1. Kuingia kama Administrator
username: admin
Password: 123456

2. Kuingia kama Mtumiaji wa kawaida
Username: user
Password: 123456

Kuwasailiana na Timu ya ya Ufundi na Mauzo
Timu nzima ya Kibaba ikiwemo ya Matengenezo inapatikana sehemu moja ili kukurahisishia wewe mtumiaji wa Kibaba MFS.

1/2 Ali Hassan Mwinyi Rd,
Namanga, near Don Bosco VTC- Oysterbay,
Dar es Salaam, Tanzania

Tel: 022 2664 739
Cel: 0713 302 950

Email: info@kibaba.co.tz
sales@kibaba.co.tz

Kibaba-box-Realistic.png



tablet.jpg

tablet2.jpg
 

Attachments

  • Kibaba-box-Realistic.png
    Kibaba-box-Realistic.png
    173.4 KB · Views: 100
hongera kwanza kabla sijaangalia programm maelezo yako yamekaa vizuri nitakuja kwa feedback.
 
Hongereni sana kwa kutumia bongo zenu vizuri, lakini nimesoma features hapo nimeona nyingi zinawafaa vikoba lakini kwa MFI nafikiri muongeze juhudi zaidi kwa sasa bado
 
Hongereni sana kwa kutumia bongo zenu vizuri, lakini nimesoma features hapo nimeona nyingi zinawafaa vikoba lakini kwa MFI nafikiri muongeze juhudi zaidi kwa sasa bado

Asante sana kwa kupitia Features zetu, unajua MFI ni pana sana, kwa watu au kampuni zinazo kopesha watu kwa riba zinaweza kutumi hii Software ili ku track Wanachama na mikopo yao na Tarehe za kurudisha mikopo. Lakini System ya Kibaba inaweza Ku update muda wowote na Development team inaendelea muda wote ili kupokea maoni ya wana Vicoba ili kuboresha Mfumo.

Kibaba MFS
Sales Team
 
Kibaba MFS itaendelea kutengenezwa kadri watumiaji watakavyoona inafaa. kila maoni yatachukuliwa na kufanyiwa Kazi. Mara kwa Mara kutakuwa na Usasisho (Updation) wa Mfumo.
 
Back
Top Bottom