Programu ya GIMP yazindua toleo jipya GIMP 2.99.2

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
3,979
2,000
Programu maarufu ya GIMP inayotumika katika sanaa za ubunifu na uchoraji muda mfupi uliopita imezindua toleo la GIMP 2.99.2, toleo hili jipya linakuja na mambo muhimu mfano wa refactoring, GTK3-based UI, Wayland support, hotplugging of drawing tablets, better color management, better rendering performance, support for writing plugins in Python 3, JavaScript, Lua, and Vala kwa uchache.

GIMP.jpg

Hjalti Hjálmarsson
Mfumo wa utendaji kupitia GIMP ni sawa au zaidi ya Adobe kwa upande wangu na kizuri zaidi programu hii inapatikana bila malipo. Unaweza kujaribu sasa.

 

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
3,979
2,000
Da'Vinci

GIMP ni GNU Image Manipulation Program ikiwa inaandaliwa na watu wa kujitolea kutoka maeneo mbalimbali duniani na kupatika bila malipo.
-

Sample ya picha nilizotengeneza kwa kutumia GIMP

Youth Chat w LyRanda.png


Youth Chat w LyRanda1.png


Maluma Papi Juancho.jpeg


DJ MAG John Summit Ed.jpg


Fangage Me.jpg


Fangage Blasterjaxx.jpg


WEPLAY Köln 20205.png
 

Wangaya

Senior Member
Sep 6, 2018
160
500
Hii GIMP nimeinstall kwenye PC yangu lakini nimeshindwa kabisa kuitumia kuchora picha. Feature zake naona zipo complecated as compared to Adobe photoshop
 

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
3,979
2,000
Hii GIMP nimeinstall kwenye PC yangu lakini nimeshindwa kabisa kuitumia kuchora picha. Feature zake naona zipo complecated as compared to Adobe photoshop
Ooops! Binafsi Adobe Photoshop not only PS but Adobe products zipo complicated aisee.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,258
2,000
Hii GIMP nimeinstall kwenye PC yangu lakini nimeshindwa kabisa kuitumia kuchora picha. Feature zake naona zipo complecated as compared to Adobe photoshop
Kama unachora na hufanyi manipulation tafuta software za kuchorea na tablet yoyote yenye kalamu nzuri. Zipo pia Tablet ambazo unaweza tumia pamoja na pc.

Software kama Clip studio, corel painter, etc
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom