Mkuu niliwahi kudowload ya 32 bit ikanielekeza kwa hackers; ngoja nitulie kwanza nitafakari jinsi ya kupata editor isiyokuwa na masharti au longolongo.
Naomba kufahamu ni aina gani ya programu ya video editing ambayo inaweza operate kwenye laptop ya kawaida aina ya Dell Inspiron yenye properties hizihapa
RAM 4GB
Processor Intel(R) Celeron (R) 2957U @1.40GHz 1.40 GHz
HD 500GB
Ndo hali ilivyo mkuu karibia kila program ina alternative ya bure open source sema zinakuwa ngumu, hakuna mtu mwenye muda wa ku spoon feed kwenye open source.