Kila mwamba ngoma huvutia upande wake. Bila shaka ana sababu ya kuanza na c++. Ungemuuliza lengo lake hasa anataka kuwa base wapi huenda angekwambia.
Mimi nimejifunza python, php na java kidogo mwaka huu.
Ila nimeweka mkazo kwenye python, leo nlikuwa najifunza kuconnect web forms na python code zangu maana nilikuwa natumia tkinter kwa ajili ya UI ila ni pasua kichwa na UI zake mbovu mbovu sasa nimeona ni deal na web based UI naiconnect na python codes kupitia Flask framework.