racka98
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 1,041
- 1,530
Mara nyingi huwa watu wanapost humu kuwa wanataka kujifunza programming na hawajui waanze wapi.
Ukiwa beginner kupata resources nzuri zenye mpangilio mzuri ni mtihani kwa wengi.
Challenge inakuja pale unapotaja mtiririko mzuri wa kujifunza.
Kupata mtiririko mzuri utakao kuguide vizuri usipende kutumia Youtube. Youtube kuna tutorial nyingi sana ila kupata itakayo kufundisha basics vizuri ni kazi kubwa.
Njia nzuri ya kujifunza hvi vitu ni kwa kutumia course sites kwa w3schools, Udemy, Coursera, Udacity, Jetbrains Academy, n.k au vitabu.
Changamoto inakuja hapo ni kwamba course nyingi nzuri ni za kulipia na wengine wanakua hawana huo uwezo.
So leo nimewaletea trick moja nzuri sana ya kujifunza basics zote bure kabisa katika mpangilio unaoeleweka.
Jiunge JetBrains Academy.
Vitu vinavyofundishwa humo ni;
1. Maths
2. Computer Science fundamentals (Including Algorithms)
3. Data Science (Machine learning)
4. Frontend (HTML & CSS)
5. Backend (SpringBoot & Django)
6. Java
7. Kotlin
8. Python
9. JavaScript
10. Scala
Steps to follow:
1. Ingia hapa: JetBrains Academy — Learn programming by building your own apps
2.Kisha chagua track moja wapo iliyowekewa label ya Free
3. Chagua Project mojawapo ya kuanzia
4. Jaza details zako na kuingia kwenye account yako
Baada ya hapo utakuwa umemaliza. Unatengeneza acc ya JetBrains Academy kwa kupitia free track ili ikupe uwezo wa kupewa License kila mwezi ya IDE zote za JetBrains. Hii license inakua na umihimu kwa web developers kwaajili ya kupata Webstorm IDE ambayo inaweza kukusaidia sana kwasababu ya features zake.
Sasa hapo utakua na swali, je napate hizo track zingine za kulipia bila kutoa hela?
Solution ni hii;
Kusoma track zingine bila kulipia utatakiwa ku log out hyo account yako (or tumia Incognito mode) na kutumia link hii: JetBrains Academy — Learn programming by building your own apps
Hii link itakupa access ya resources zote nilizotaja kule juu hata ambazo ni za kulipia.
Kumbuka tu downsides ya hii ni:
1. Hutaweza kupata access ya training kwasababu inahitaji uwe ume login na uwe umelipia hyo track
2. Hutaweza kupata access ya Projects pia
Cha msingi ni kwamba ukisha soma section flani usibonyeze Start Practicing maana itakuhitaji ku login
Je nitajipimaje kuwa nimelewa bila kuwa na access ya Practice na Project?
Tumia website ya codewars kujipima uelewa wako: Codewars: Achieve mastery through challenge
Hapo utakuwa tayari umepata ya high quaity materials zenye mpangilio mzuri kabisa.
Kma una maswali uliza.
⚠️ IMPORTANT NOTE ⚠️
Siku zote kama unaanza programming jifunze kwanza lugha husika kabla ya kukimbilia frameworks na kutengeneza apps.
Mf: Kama unataka kujifunza Django for backend basi soma kwanza Python, ukimaliza ndio ukimbilie hyo Django.
Kma unataka kujifunza kutengeneza Android apps basi soma kwanza Kotlin or Java ndio uende kujifunza mengine.
Ukikimbilia hzo frameworks kabla ya kuijua lugha husika utapata tabu sana na utakua huelewi kinachoendelea.
Happy coding!