simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,705
- 9,592
<br />Nadhani ukibadilisha lugha itakuwa sio Java tena, maana keywords zitakuwa sio zenyewe. <br />
Unaweza ukafanya kama academic exercise lakini sidhani kama kuna sababu ya msingi kufanya hivyo.
Yeah itabidi ubadilishe kote au uweke layer ya kutranslate back into English, kazi bure.<br />
<br />
Nahisi pia itabidi to re engineer compiler kwa sababu compiler fuctions by recognizing keywords.
habari, naomba nilijibu swali hili kama ifuatavyo,Lugha inayotumika katika Programming languages zote ni kiingereza. Je zipo sababu za msingi ya kupendelea kiingereza kuliko lugha nyengine yeyote? Kwanini kusiwepo kwa mfano java swahili,chinese au arabic versions?
WeChat ndo naona nzuri sana kuchat na wachina, Yaani yeye akiandika kichina chake kule na kukutumia ww automatically inakutranslatia kwa lugha ya English unaelewa, Na ww vilevile unamjibu kwa English ujumbe ukimfikia automatically kule kwa chini ake unamtranslatia kwa kichina chake! Skype hawana hii kitu? Au mpaka u copy & paste kwenye translator ya Google?Tuanze na kubuni programming language ya Afrika kabla kuwaza suala la lugha, ukweli Waafrika tuko nyuma sana kwenye kila kitu. Na sio sisi tu kwenye bara hili, ila mtu mweusi amechelewa sana hata kama ni mzawa wa huko Ulaya. Hebu fanya utafute top programmers in the world, hamna mweusi hata mmoja.
Ukweli mchungu ila ndivyo ulivyo, tuukubali ili tuanze kurekebisha.
Mimi mara nyingi huwa nachat na Wachina kwenye Skype, ambao wengi hawafahamu kingereza, akiandika Kichina nakifanyia copy pasting kwenye translator, kisha naandika Kingereza na kukibadilisha Kichina namtumia, haya masuala ya lugha bana......
WeChat ndo naona nzuri sana kuchat na wachina, Yaani yeye akiandika kichina chake kule na kukutumia ww automatically inakutranslatia kwa lugha ya English unaelewa, Na ww vilevile unamjibu kwa English ujumbe ukimfikia automatically kule kwa chini ake unamtranslatia kwa kichina chake! Skype hawana hii kitu? Au mpaka u copy & paste kwenye translator ya Google?
Alafu ina maswala ya kuscan QR code unaposajili ko uwe na access ya simu 2 moja yenye account inayofanya kazi ili uscan hapo ndio wanaponiachaga hoi! Sema iko vizuri sana naona hata whatsapp huwa wanaiba sana features zake nyingi kutoka WeChat...Kuna mtu alinishauri kuhusu WeChat ila nikasuasua maana kufanya installation ya apps zozote za Kichina huwa naogopa maana hawakawii kuiba personal data zako zote, ok poa nitajaribisha ila nafahamu huwa through reference, yaani lazima ualikwe na mtu anayeitumia.