Programming kwa wanaoanza...mawazo yenu!!

Programming kwa wanaoanza...mawazo yenu!!

Nenda www.cprogrammingexpert.com pia nakushauri utafute developer c++ hii ni software itakusaidia coding katika c na c++ ni compiler, au waweza tumia netbin pia. All the best
Sawa sawa mkuu!!! Je unaezakua ma links wanazoeza toa material ya c??
 
anza na python kama ni structured programming then uende na java kama ni object oriented, python ni rahisi
 
nimekupata mkuu!!! lakini kuanza c sharp haitaitaji knowledge ya c na c++?? naomba mchango wako!!!

Hapana kufanya C# hauhitaji kujua C wala C++ ni vitu tofauti kabisa, nadhani C au C++ itakuharibia zaidi ya kukusaidia kujua C#.
 
Ni mistake kubwa kuanza na C kama language ya kwanza, ina mapungufu na distractions nyingi ambayo hayafai kwa beginners.
 
Hapana kufanya C# hauhitaji kujua C wala C++ ni vitu tofauti kabisa, nadhani C au C++ itakuharibia zaidi ya kukusaidia kujua C#.

Kivipi itaniharibia mkuu!? Naomba mawazo yako!!
 
go for Python kama hujawahi jifunza lugha yeyote. kama una moyo wa simba nenda na C++ kabisa. kuna kakipande nilikaandika kule hosanna ht forums ila natumia mobile siwezi weka link. ina ushauri wa kuanzia. unaweza ku google au mwingine anaweza bandika link.
 
nimekupata mkuu!!! kwani ningekua nimeanza programming before hii isingenifaa?? kwa nini??
 
Just for fun mkuu!!! Hilo ndio lengo kuu...ajira au kujiajiri baadae japo ni malengo pia!

anza na java, u can do alot with java. Hakika utaipenda.
Its so powerful, na unaweza kutengeneza apps za kila namna.
Tafuta vitabu kama java how to program au head first java.
Vitakusaidia sana.
All the best.
 
nimekupata mkuu!!! kwani ningekua nimeanza programming before hii isingenifaa?? kwa nini??

sisemi isingekufaa, la! kwa kuwa hatujui unachotaka kufanya ni vigumu kusema lugha gani itafaa. lakini Python ina sarufi inayokulazimisha kuandika simba zako kwa urembo zaidi na kukupa nidhamu. ila Python inafanya karibu kila ambacho cpp inafanya na pengine zaidi. kwa mawazo yangu Py ni better zaidi ya Java. sababu ya modules nyingi. lakini usichukulie serious kwa kuwa nyundo si wakati wote ni bora kuliko spana.
 
do not do C go for C++ unless you want to program device drivers.
 
anza na python kama ni structured programming then uende na java kama ni object oriented, python ni rahisi
Python is object oriented language with ability of to run as procedural language.
 
turbo c? conio.h? kidding?
am not kidding and that a reason i came here to seek some a,b,c's about this stuff!!! infact i really appreciate your suggestions!! so can you please give some clues?? knowing that i chose c and there after i will be dealing with either c plus or sharp!!
 
Mkuu we komaa najua kuna ambao watakushangaa sana wanasahau kwamba hata mtoto uanza kuhesabu 1 mpaka 10 ambayo itakuja mfanya awe bingwa wa ku multiply, kuzidisha, kugawa, logarithm na hesabu kwa ujumla in future.
Just go, uimechagua c nakushauri go for c ukianza c++ it will be so easy lakini ningekushauri unge tumia dev c++ badala ya turbo.

nimekupata mkuu!!! na nnashkuru pia,... acha nianze ifanyia kazi then ntaleta feedback!!!
 
c is one language and cpp is another. the fact that they are related doesn't make the first proceeding later. so learn the later unless your future is not object oriented programming.

as for compiler use GNU GCC. Although in future IDEs will be great I suggest you use simple editor like Geany. It will teach you a lot. then go for CodeLite. after playing with console applications then go for GUI. I suggest wxWidgets. I have good tutorial on making GUI with wxWidgets.

Turbo C, Dev cpp, MinGW Studio are dead.
 
habari wana jamii!!
Ni muda sana nimekua navutiwa sana na haya maswala ya PROGRAMMING, na natamani sana kujifunza nami niwe programmer!!! kwa sasa nnajua kidogo sana kuhusu programming na juzi nimeanza jifunza HTML(Sielewi maana watu wanadai sio programming language).
Kwa kifupi sina programming language nnayoijua zaidi HTML ambayo nimeianza juzi!! je kama beginer ni programming language nianze nayo??...na je niendelee na hii HTML???
Nahitaji mawazo yenu wakuu!!!

Komaa na java ,Jitahid upate JDK Java developer kit ili uanze kupractice mdogo mdogo, ni tight bt ipo compartible
 
Mkuu we komaa najua kuna ambao watakushangaa sana wanasahau kwamba hata mtoto uanza kuhesabu 1 mpaka 10 ambayo itakuja mfanya awe bingwa wa ku multiply, kuzidisha, kugawa, logarithm na hesabu kwa ujumla in future.
Just go, uimechagua c nakushauri go for c ukianza c++ it will be so easy lakini ningekushauri unge tumia dev c++ badala ya turbo.

Mkuu namimi nina lengo la kujifunza kama la mleta mada, kwa hio ntakutafuta siku za mbeleni kwa msaada zaid
 
Back
Top Bottom