ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
habari wana jamii!!
Ni muda sana nimekua navutiwa sana na haya maswala ya PROGRAMMING, na natamani sana kujifunza nami niwe programmer!!! kwa sasa nnajua kidogo sana kuhusu programming na juzi nimeanza jifunza HTML(Sielewi maana watu wanadai sio programming language).
Kwa kifupi sina programming language nnayoijua zaidi HTML ambayo nimeianza juzi!! je kama beginer ni programming language nianze nayo??...na je niendelee na hii HTML???
Nahitaji mawazo yenu wakuu!!!