Mkulu mbona linki ina error....haiendi popote hiyo.....?
Baada ya muda mrefu kidogo nimeamua kurudi kwenye C++ ambayo niliisomaga Uni. lakini niliichukia sana kwa sababu mbalimbali
uko ni wapi??I can say we share the same history, I never liked C++ back in uni but i happened to liked it few years back, but i never use it much so i just go to the books once in a while...
And thats a very good book. *** everythin its clear & less confusing ***
cheers
na nyie ma programmer mnatuacha solemba........tufafafanulieni C++ ni kidudumtu gani?Mpaka sasa naweza kusema ni moja ya vitabu bora vya programming nilivyowahi kuvisoma, na naona chuki yangu ya C++ inayeyuka yenyewe.
mkuuu wewe mkali.......if you are really a programmer you shouldn't proud yourself hating C & C++....if that then don't call yourself Computer geeks at all......by the way among the most simplest and interesting languages of computer these are.....Coming soon, I will release My application for "Hospital Management System" which i previously did it in vb6 but now I wanted to make more stable using C, C++ and Java all in one.
In short this application will be able to run in Windows and Linux since I have written it in Linux platform.....So I hope Guys it will help you to discover the importance of C,C++
if you are really a programmer you shouldn't proud yourself hating C & C++....
uko ni wapi??
na nyie ma programmer mnatuacha solemba........tufafafanulieni C++ ni kidudumtu gani?
Mimi sihitaji kitu, ilikuwa ni kama general discussion thread.Sasa mmachohitaji ni nini? Vitabu au alternative programing language??
C++ ni lugha ya programming, yaani unaweza kuitumia kutengeneza programu za compyuta.
Mimi sihitaji kitu, ilikuwa ni kama general discussion thread.
Nilisoma VB6 mwaka 2001,tatizo sijapata muda wa kuifanyia kazi vya kutosha sijui unaweze nipa nafasi kupitia hiyo project yako!if you are really a programmer you shouldn't proud yourself hating C & C++....if that then don't call yourself Computer geeks at all......by the way among the most simplest and interesting languages of computer these are.....Coming soon, I will release My application for "Hospital Management System" which i previously did it in vb6 but now I wanted to make more stable using C, C++ and Java all in one.
In short this application will be able to run in Windows and Linux since I have written it in Linux platform.....So I hope Guys it will help you to discover the importance of C,C++
OK!!! Mimi nataka ku-develop software ambayo itatumia Bayesia Statistics/probability. Which language is better kwa hii kazi, Visual Basic au C++???
Majibu utakayopata hayana tofauti na majibu utakayoyapata kutokana na mawali haya:
- Apples and Oranges, which ones are better?
- Nataka kwenda mbinguni/peponi. Dini ipi ndio nzuri kuendea huko, uislamu au ukristo?
How To Ask Questions The Smart Way
OK!!! Mimi nataka ku-develop software ambayo itatumia Bayesia Statistics/probability. Which language is better kwa hii kazi, Visual Basic au C++???
na nyie ma programmer mnatuacha solemba........tufafafanulieni C++ ni kidudumtu gani?