Wewe mbona ndiyo umekosea ...kwa ilo swali ulilo uliza jibu sahihi ni 1-2-3-abcNimempima na kumpa code ndogo tu kama hii
function separateLettersAndNumbers(str) {
return str.replace(/(\D+)(\d)/g, $1-$2).replace(/(\d)(?=\D)/g, $1-);
}
nikamuuliza output yake itakuwaje kwa 123abc
alisema itakuwa 1-2-3-abc
na jibu sahihi ni 123-abc
aisee programmers mnaodepend hii kitu kazi mnayo
Sawa nimerudia swali nimeona upo sahihi β βsoma swali vizuri mkuu kisha run hiyo code ujionee
Java scriptLanguage gani hiyo mzee, mi niliishia html na php tu
AI ni msaidizi na Developer , na sio Developer kuwa msaidizi wa AINimempima na kumpa code ndogo tu kama hii
function separateLettersAndNumbers(str) {
return str.replace(/(\D+)(\d)/g, "$1-$2").replace(/(\d)(?=\D)/g, "$1-");
}
nikamuuliza output yake itakuwaje kwa 123abc
alisema itakuwa 1-2-3-abc
na jibu sahihi ni 123-abc
aisee programmers mnaodepend hii kitu kazi mnayo
Hatari hiyoJava script
hakika, upo sahihiAI ni tools tu inarahisisha mambo, nowadays hata stack overflow ni kama inakufa hivi maana watu wanatumia sana AI kuremove bugs, thou ni kitu imeondoa ile ladha ya programming, mabishano ya kule stack overflow hadi kufikia conclusion mtu unakua umejifinza patterns nyingi sana ila AI unapest snippet yako anaonesha bugs ilipo (ingawa sio mara zote inakua sahihi, sometimes inabadili the whole structure ya codes zako na kutengeneza kitu kingine kabisa ambacho maybe halikua lengo lako sasa ukiwa ni mtu wa ctr C ctr V unakua na viraka vingi sana kwenye code yako)
Lazima utumie AI kwa uangalifu na kuiongoza ili ufikie malengo yako. Ni machine siyo binadamu na ndo maana majibu yake hutofautianaNimempima na kumpa code ndogo tu kama hii
function separateLettersAndNumbers(str) {
return str.replace(/(\D+)(\d)/g, "$1-$2").replace(/(\d)(?=\D)/g, "$1-");
}
nikamuuliza output yake itakuwaje kwa 123abc
alisema itakuwa 1-2-3-abc
na jibu sahihi ni 123-abc
aisee programmers mnaodepend hii kitu kazi mnayo
π π πHii language yenu, mchungaji anaweza kuanza kukemea akadhani mmekuwa vichaa kuumbe ndo mko timamu hasa. Hongereni Sana
Zimekufanya nini kazi za halmashauri mkuu?Uwanja wangu huu ila mambo ya kazi za "halmashauri" umenifanya nasahau code