Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,436
- 60,747
Ili uweze kutangaza unahitaji hela inayoingia au hela ya mwekezaji na mtumiaji unayempata inabidi alipe mwisho wa siku, kwa mfano hizi ads za mobile sio cheap tuseme kupata installation 1 mpya unahitaji $3, lakini watumiaji wako life time value yao ni $2 hiki ndo kiasi watakachokulipa kwa kulipia au kwa faida ya matangazo tangu wainstall hadi wafute app yako so moja kwa moja utaona kutangaza app yako ni hasara. Kwa TZ ndo disaster kabisa watumiaji hawanunui app na ads kwa bongo hazilipi hakuna advertiser anayetaka kuwalengabwatu ambao hawanunui kitu.
App kubwa zinahitaji devs wengi na sio devs tu zinahitaji wataalamu kila sekta sales, marketing, desig data etc, nendeni mkazichunguze baadhi ya hizo kampuni za app mnazotumia mtakuta zina mamia ya wafanyakazi, Uber wana Android devs tu zaidi ya 200 kila mmoja wao anabeba zaidi ya $1-200,000 kwa mwaka wengine hadi $500,000 fikiria cost za kuendesha hiyo biashara.
Developers wenzetu kwa ujumla hawaingii hasara kuanzisha hizi kampuni za gemu/app/software.Ili kuingia kwenye soko lazima ugharamike na ukubali hasara, pia kuhusu soko si lazima kulenga watanzania tu, lenga Dunia, muhimu utengeneze kitu kinachohitajika kwa nyakati za sasa.
Kuhusu kuwa na wataalamu wengi, ni jambo zuri; kwa sababu usitegemee kitu kizuri ule peke yako.
💯💯💯💯💯💯Developers wenzetu kwa ujumla hawaingii hasara kuanzisha hizi kampuni za gemu/app/software.
Angalia kama NALA kwa mfano, wao wametengeneza wazo lao la biashara wameenda kwa wenye hela (Venture Capitalists) wamewaeleza idea yao, NALA investors wa kwanza walikuwa Y-Combinator (YC) hii "fund" inainvest kwenye maelfu ya kampuni ni kama wanabahatisha kwa kiasi fulani, wanajua asilimia kubwa zitafeli ila kutakuwa na ambazo zitahit sana, so YC wanawapa NALA $150,000 -$500,000 waende wakajaribu hiyo biashara ya kwa makubaliano ya kuchukua 7% ya kampuni.
NALA anaenda anaanzisha hiyo kampuni anatumia hiyo pesa kuajiri watu, kuitangaza kampuni etc, inaonekana kuna mafanikio fulani pamoja ya kwamba hakuna faida mpaka sasa, wanarudi kwa investors yule yule au wengine anapata capital upya anagawa kipande kingine cha kampuni, tunarudia hivyo hivyo wanasonga mbele, mpaka sasa wameshapata capital $50 million hajarisk pesa zake wala kuingia hasara yoye ni hela ya investors ambayo wanatarajia itazaa matunda huko mbeleni.
Sasa fikiria UBER walipata capital ya $22 billion kabla ya kupata faida yoyote kama kampuni.
Kuhusu kutengeneza app ambazo haziwalengi wa TZ ni sawa ila unashindana na kila mtu hapo, wewe hauna capital mwenzako ana mamilioni ni kazi ngumu sana. Kuhusu watu wengi tatizo sio kula peke yako tatizo wewe utawalipa vipi hao watu wakati unaanza?
Tatizo ni hela, matatizo mengine yote yanatatulika kama hela ungekuwa unayo hata developers kama bongo hakuna siku hizi ni simple kuajiri watu remote kama hela unayo.
Developers wenzetu kwa ujumla hawaingii hasara kuanzisha hizi kampuni za gemu/app/software.

Nitumie link ya hiyo appnazan swala n Support kutoka kwa watu n hafifu. Kuna Mobile App moja jamaa Mmoja Kaitengeneza ya online kucheza Draft na Lastcard kimtindo mbali mbali lkn watumiaj n wale watu wa karib anao fahamian nao bhc ambapo inamuwia vigum app yake kutambulik san kwasab ya lack of enough support kwa watu.
Let's play Cards and Checkers on SolDrax, Download SolDrax App here Soldrax - Apps on Google PlayNitumie link ya hiyo app
Onyrsha mfano huo mkuu... tayari umeona gap na nakupongeza kwa hilo sasa njoo na solution.1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???
2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??
3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.
Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.
Vijana unaowazungumza angalia ¾ ya post hapa jf ndio uta determine future generations yao..1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???
2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??
3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.
Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.
Huenda kizazi cha sasa ndio kizazi kikawa kizembe kuwahi kutoka toka kuumbwa ulimwengu. Vijana wa sasa hawana maarifa lakini wana elimuWe jiulize tu, hizo development zenyewe mnajifundishia kwenye framework platforms tayar kama Yii au Djando au Laravel. Yan washaku "developia" halad na wewe et unasema una develop? 😂.
Ma frameworks yenyewe tayar yako soo much intergreated with AI for code auto-generation mpaka schema unatengenezewa sasa wewe ni developer au mpumbavu tu??
Vijana siku hizi wanatoka chuo HAWAWEZ KUANDIKA CODE KAVU KWENYE NOTEPAD AU TEXTEDITORS hawaweziiiii KU CODE FROM SCRATCH HAWAWEZIII.
Sasa ndio mjiite ma developer nyie si chawa kunguni tuu!!!
Kuna binti mmoja mwaka jana nikamuondoa katoka chuo ARDHI university mwaka wa 3 degree ya information systems nin sijui, hawez kaundika hata SQL query achana na functions??
Niliumia sanaa.
Support gani? App inajisapoti yenyewe kwa kuwa ya kiwango cha juu na ubunifu. Hujui chema chauza na kibaya chajitembeza? Unataka watu wanunua app za vilaza zisizo na ubora?nazan swala n Support kutoka kwa watu n hafifu. Kuna Mobile App moja jamaa Mmoja Kaitengeneza ya online kucheza Draft na Lastcard kimtindo mbali mbali lkn watumiaj n wale watu wa karib anao fahamian nao bhc ambapo inamuwia vigum app yake kutambulik san kwasab ya lack of enough support kwa watu.
Hakuna hela kwenye hiyo kitu kwa bongo, najua mnaziona tu app na gemu mnafikiri ni mtu amekaa anatengeneza, nenda kwenye gemu yoyote kamili utaona ni kampuni inayoajiri mamia hata maelfu ya watu, gemu zinatengenezwa miaka, fortnite inatengeneza $ 20 billioni kwa mwaka, Sony wametumia $ millioni 200 kutengeneza gemu yao ambayo inekuwa hasara wameiondoa sokoni, mara moja moja independent devs wanahit kama yule wa flappy bird lakini sio rahisi hasa siku hizi kubahatisha sio rahisi, hasa bongo sidhani kama kuna mtu ananunua app au gemu.
Seriously? I'm not down playing the guy lakini how uta standout na bus simulator playstore? Sehemu ambayo imejaa mamilion ya kitu hichohicho?Kareem Design anakuja na game kali litaitwa BUS SIMULATOR TANZANIA
Muangslie Instagram kuona Project zake
Umasikini.1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???
2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??
3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.
Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.
I am also a developer, tatizo namba 1 ni hela nakuhakikishia hilo, ninafanya kazi startup ina miaka kadhaa hela wanayotumia kuendesha kwa server cost tu inatia kizunguzungu na ni kampuni ndogo kwa tech ambayo hakuna aliyewahi kuisikia.Naona unachanganya AAA games, indie na mobile games kama flappy bird. Hakuna indie developer anaweza kutengeneza game kama RDR2 ambayo budget yake ni usd 500,000,000 hiyo ni Trillion ya kitanzania na ushehe. You can't compete with giants kama RockStar, not even the giants themselves. Mfano Trailer ya GTA 6 ilipata 100 million views youtube in a day, leo ina 200 million views.
Unlike AAA games, yoyote mwenye computer na akili anaweza kutengeneza PC au Mobile game bure. Wanaitwa indie developers. Hivyo budget sio sababu.
Mobile Game haziuzwi mkuu, ni bure, unless uuze mwenyewe, na ukifanya hivyo utakuwa mjinga sababu hakuna mtu ananunua mobile games. Na sio kweli kwamba kila successfully PC game au mobile game zipo chini ya giant companies with over a 100 workers. Mfano kwa mobile games, ukiingia playstore leo utakuta most games zimetengenezwa na indie developers, eidha ni solo developers mpaka 2 to 5 people na mostly utakuta zina downloads sio chini ya 100,000 to 1,000,000. Kwa mfano Among Us yenye over 500 million downloads playstore. Lile game limetengenezwa na watu 3 tu. Mwanzo lilikuwa between 10,000 downloads kama vigemu vingine vya ajabu ajabu, until Corona lock down ndipo lika blow up.
Alafu kusema "kwa bongo hiyo kitu haina hela." Ni nonsensical. Sababu once application ipo Playstore tayari ni available worldwide, that's a world wide market. Kinachobaki ku-determine mafanikio ya application yako ni niche, quality na marketing. Vitu pekee vitakavyokufanya ustand out lasivyo utakuwa buried chini ya mamilion ya other applications.
Kuna major factors nyingine zinazofanya kusiwe na big companies za Games au applications Tanzania. Lakini sio market, faida wala budget.
Just in case, I'm an application/game developer.
Mimi pia napenda kweli kujifunza haya maswala ya programu, na hata kuja kutengeneza app itakayofanya vizuri hapo baadaye. Inabidi uje na uzi humu walau nijifunze kitu miaka 7 sio mchezo, najua ulipitia mengi fanya hivyo bro maana wengine elimu zetu ni form 4, walau naweza nikapata kitu kikanisaidia katika safari yangu ya kuja kuwa programmerMimi ni self-taught developer mwenye experience ya zaidi ya miaka 7. Mimi ntakujibu kwa kupitia changamoto ambazo nimekutana nazo.
- Nahisi kuna changamoto kwenye mitahala ya elimu kwa ujumla, Watu wengi sana ambao wanasoma programming kama professional ni vitu ambavyo wamevijulia chuo. Na programming ili usuke vitu vya kuogopesha unatakiwa kuijua mapema. Hii kitu ni kama lugha, ndio maana zinaitwa lugha pia, Mfano ni rahisi sana kutofautisha mtu aliyejua kiswahili akiwa na miaka 2 na yule aliyejifunza ukubwani.
- Uwezeshwaji aisee. Unaweza ukawa na wazo na ukatengeneza system yako safi. Lakini kuiweka hiyo system hewani inahitaji pesa, Na watu wengi sana wenye pesa bongo sio rahisi kuwekeza pesa kwenye vitu vya kidijitali. Sasa muda mwingine wazo lako linakufa kisa tu umeshindwa kulipia bill ya AWS.
- Mapato. App nyingi sana zinahitaji kutengeneza pesa ili ziishi, Jiulize wewe binafsi ni mara ngapi umelipia kitu kupitia app ya Mtanzania. Diamond alianzisha website ya wasafi kuuza mziki lakini ilikufa maana watanzania wanataka kupakua miziki bure kwa bekaboy. Lakini hapa kama watu wangekuwa wako radhi kulipia bidhaa na vitu kadharika mambo yangeenda safi.
- Sheria na Taratibu. Sheria za marekekani kuhusiana na kampuni za teknolojia ziko vizuri sana na zinaruhusu watu kuanza bila kutumia pesa nyingi. Mimi nilijaribu kusajili kampuni yangu ya teknolojia (kosa ambalo najuta hadi leo) Maana nilitumia pesa nyingi sana na bado app yangu haikuvutia watu wengi. Kwa nini nimeandika hichi? Sababu app yangu ilikuwa ya kuuza vitu vya kidijitali. Ukienda kwenye makampuni ya simu ili upate API baadhi wanataka uwe umesajiliwa kama kampuni, na kusajili kampuni kwa TZ ni pesa, mambo ya kodi sijui mara hili mara lile yani ni mlolongo mrefu kwa kweli.
- Programmers kuandaa vitu vitakavyofeli. Kiuhalisia startup nyingi sana zinafeli. Uthubutu wa watanzania uenda unaogopa hili.
- Watanzania wengi hawaamini kazi za watanzania wenzao. Kampuni iko radhi ilipe watu kutoka nje wasuke mfumo na sio wabongo au mtu yuko radhi atumie mfumo wa wazungu na sio wa wabongo.
- Support, Mara nyingi sana watanzania wanaamini nje ndio wanatengeneza app nzuri zaidi ya watanzania wenzao. Kwenye app development kuna kitu kinaitwa MVP. Ukiona MVP ya facebook ni tofauti sana na ilivyo sasa. Kwa nini naongelea support, sometimes unatakiwa tu kudownload app ya mtanzania mwenzako hata kama unaona ni mbovu na umpe feedback yako.
- Muda. Kutengeneza vitu kama games ni kitu ambacho kinataka muda mno. Kwa mtanzania wa kawaida anayewaza apate wapi hela ya kula hawezi kufanya hichi kitu. Hapa unahitaji watu ambao labda uwape idea waikubali wawe wanakulipa hela ya kula ujikite kwenye game tu, Hii sio rahisi.
- Elimu pia. Mimi binafsi nimeanza kutumia computer toka nikiwa shule ya msingi bahati mbaya sikusoma mambo ya computer chuo kikuu lakini watu wengi sana wenye degree za computer science niliokutana nao ni watu wasio na passion na computer, kama mimi jinsi nisivyo na passion na degree niliyosoma. Programming ukifanya kama hobby ni rahisi sana kutengeneza vitu vikubwa maana utafanya tu hata kama ulipwi hata sh mia, Lakini kama ni kitu hupendi sizani inakuwa changamoto.
Mwisho nataka kusema kuna app nzuri tu za watanzania zinafanya vizuri tafuta app kama Nilipe, Dawa Mkononi, Nala (Maybe) na nyingine nyingi ni kwamba tu uenda wewe ulilenga app za social interaction kama jamiiforum kitu ambacho sio Tanzania tu hata nchi nyingine wamefeli kutengeneza big social networks kama instagram, facebook.
Nimezaliwa BUHIGWE Kigoma.1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???