Programme ya records and achieves management.

MC Chere

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
586
Reaction score
400
Hii programme inapatikana katika chuo cha utumishi wa umma tawi la TANGA.

1.Nataka kujua inahusika na nini?
2.Uwanja wake wa ajira ya kuajiriwa au kujiajiri upo kwa kiasi gani?

Thanx in advance to you.
 
hiyo course ni kamba iyoo ...piga chini
 
kupanga mafile ndio kikubwa hapo boss akihitaji mfano bank slip ya uche okechukwu unampelekea
 
Thanx sana wapendwa,na vipi kuhusu programme ya diplomacy and international relations?
 
Hahaha,haya bwana,kitu ni kujifunza swahiba hasa usivyovielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…